Serikali Impe Ulinzi Said Bahanuzi!

Serikali Impe Ulinzi Said Bahanuzi!

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,023
Reaction score
13,370
Jamani TUACHE UTANI KWENYE MAMBO YA MUHIMU. KUNA WATU WANAHASIRA NA BAHANUZI BALAA KWA KUKOSA PENALTY JANA.WANAWEZA KUMDHURU JAMAA KWA HIYO SERIKALI INA JUKUMU LA KULINDA WANANCHI WAKE!! NATOA HOJA.
 
kwani alikusudia?acha upimbi..watu wanakosa penalty uefa world cup itakuw mechi zenu hz zakitoto?embu kuen bana
 
Kama shevchenko kipindi kile fainali uefa ac milan na liver hakuuwawa basi bahanuzi mtakua mnamuonea
 
kwa lipi la maana yeye kupewa ulinzi wa kipekee namna hiyo. Yeye ndo mtu wa kwanza kukosa penati?
 
Mawazo mgando hayo..bahanuzi sio wa kwanza kukosa penalti muhimu.
R.baggio alishakosa world cup, na hakuna aliyemdhuru, huo ni mpira tu.
 
Jamani TUACHE UTANI KWENYE MAMBO YA MUHIMU. KUNA WATU WANAHASIRA NA BAHANUZI BALAA KWA KUKOSA PENALTY JANA.WANAWEZA KUMDHURU JAMAA KWA HIYO SERIKALI INA JUKUMU LA KULINDA WANANCHI WAKE!! NATOA HOJA.
Kisingiziooo tu!! MTAIWEZA aL-Ahly.... YANGA ILIANZA MECHI NA KUWA WANA GOLI MOJA MKONONI....SASA NINI VURUGU HAPO ?!!
 
Bahanuzi kukosa penalt si mchezaji wa kwanza duniani. Wengi tumeumia tena yeye ukute anaumia zaidi.
Msituchonganishe na mchezaji wetu, mimi sioni kosa la kumchukia, kila mtu anakosea kwenye kazi yake.
 
yanga hatuna mambo hayo ya jabu tunajua mpira ukoje,hakukusudia kukosa so tutamsamehe bure kwenye penalty kuna mambo mawili kupata na kukosa,wanakosa akina ronaldo na ronaldinho na wanasamehewa itakuwa yeye!!!
 
Back
Top Bottom