instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 11,828
- 16,266
Wakati wa kuhamasisha watu wachange tangazo lilikuwa hivi;
lakini juzi serikali imesema pesa ni za miundombinu tu wengine kila mtu abebe msalaba maana serikali haikuleta tetemeko. Wajijengee wenyewe msema ukweli ni mpenzi wa Mungu ni mimi ndo ukweli.
Mheshimiwa Rais Magufuli alikuta nyumba zilizoanguka kuwa zilikuwa nzuri na zenye ubora kuliko mikoa mingine lakini sivyo watu wengine wamejenga nyumba hizo kwa miaka kumi wakijikombakomba, wengine wamerithishwa na wengine ni wajane hivi wataweza kujenga nyumba hizo tena serikali wahurumie watu wa Kagera.
Ushauri serikali ingefanya hivi wangejenga nyumba kama walivyofanya Avic town halafu wakakopesha watu polepole wakarudisha polepole sio kuwatupa kabisa, wengine wameshaanza kusema bora tungechukuliwa na Idd Amin wengine tunajuta kuzaliwa Tanzania.
Serikali ijitafakari zaidi Mara mbili sio kutoa kauli za namna hiyo. Nawakumbusha tu.