Serikali Imewafanyia "Bait and Switch" Madaktari?

Serikali Imewafanyia "Bait and Switch" Madaktari?

Barua ya maombi inaonyesha nimeomba kazi kenya,majibu ya maombi yanasema nimeajiriwa Tanzania

Hii ni kuwachezea shere madaktari ambao hawakupendelea kufanya kazi kenya hasa wenye familia,au walioona hali ya usalama kenya hairidhishi

Pia utaratibu wa ajira wa nchi yetu ndio uko hivyo?

Hii ilianza kwa wale mgambo waliopiga sarakasi vizuri siku ya sherehe fulani ya wanajeshi,ikaamuriwa waajiriwe haraka JWTZ,sasa naona tumezoea

Tume ya Utumishi wa Umma imewekwa benchi
 
Bunge ni yeye mtoa mada yeye anaidhinisha yeye hakuna mipango dhabiti wala dira wala muelekeo akikurupuka ndio hapo hapo kazi kweli kweli
 
Hawakuwa na namna MMM, faida ya kukurupuka ndiyo hiyo. PhD holder anafanya mambo utadhani sio msomi kweli. Kwa kutumia akili ya kawaida alitakiwa kuona madhara ya hili mapema.

Lakini binafsi simlaumu sana maana ajira hizo ni kama wamelazimika kuzitoa but in real sense haikuwa kwenye plan zao.

Hata Farao alifanywa kuwa na moyo mgumu ili Matakwa ya Mungu yatimie. Hakutaka kusikiliza ushauri aliopewa na Mussa hata baada ya mapigo kadhaa. Mpaka Mungu alipoamua kumshushia pigo takatifu la kuwaua wazaliwa wa kwanza kuanzia kwa binadamu mpaka mifugo ndo heshima ilirejea.
jitahidi uwe president wa awamu ijayo..... ntakupiga kura
 
Back
Top Bottom