Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,779
Zaidi ya shilingi trilioni moja imetolewa na Serikali kutekeleza mradi wa reli ya kisasa SGR LOT NO 6 ya kutoka Tabora kwenda mkoani Kigoma mpaka Msongati nchini Burundi mradi ambao kwa sasa uko katika hatua za awali ukiwa umefika asilimia 7.
Akizungumza na waandishi wa habari mkoani kigoma, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji Mitaji ya Umma (PIC), Mh. Augustine Holle amesema fedha za utekelezaji wa mradi huo ni makusanyo ya fedha za Serikali na kuongezea kuwa mradi huu ni sehemu ya mpango wa kuimarisha miundombinu ya reli nchini ili kurahisisha usafiri wa mizigo kati ya mikoa hiyo na nchi jirani za Burundi na Congo.
Pia soma Miradi kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mhandisi Kundo akagua mradi wa maji unaonufaisha zaidi ya wakazi 200,000 Chalinze