abdallahjumbe
Member
- Jul 1, 2016
- 48
- 46
wote tumeona muda mchache uliopita serekali yetu tukufu ikipambana na wafanya biashara ya sukari ikilazimisha iuzwe kwa bei elekezi ya 1800 kwa kilo,
mpambano ule ulihusisha kada zote muhimu serekalini na bila kumuacha nyuma mtukufu rais waziri mkuu wakuu wa mikoa na wilaya, magodauni mengi yalipekuliwa na kiasi kikubwa cha sukari kukamatwa haya yote yalifanyika kwa lengo moja tu yaani sukari iuzwe kwa bei elekezi
lakini cha kushangaza na kusikitisha balada ya kushuka sukari ikapanda mpaka 3000 ndani ya mfungo walau kidogo mwishoni mwa mfungo na mpaka leo tunanunua kwa 2500/2400 na wala haitegemewi tena kuuzwa kwa 1800 ndio kusema kua serikali yetu imeshindwa na swala hili?
ni serekali hii hii ndio iliyochokoza hili kabla ya hapo tulikua tukinunua mpaka 1500 wakalichokoza janga halafu wakala kona wametuangushia jumba bovu kwa maamuzi yao ya kufyatuka kweli ukubwa wapua si wingi wa kamasi