Serikali imesema reli ya kisasa ya SGR kutoka Dares salaam kwenda Morogoro (KM 300) itaanza kutoa huduma mwezi wa saba 2023

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,505
3,038
Serikali imesema reli ya kisasa ya SGR kutoka Dares salaam kwenda Morogoro (KM 300) itaanza kutoa huduma mwezi wa saba mwaka huu.

Akijibu swali Bungeni Jijini Dodoma leo, Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Atupele Mwakibete amesema mwezi wa sita wanategemea kupokea mabehewa yenye ghorofa na mwezi wa saba watapokea kichwa na miundombinu yote ipo tayari kwa ajili ya kuanza.
FC7B5FD2-B712-44E4-9366-BD748CFCD5A8.jpeg
 
Wanajua watz hatuna kumbukumbu na pia uwezo wa kuhoji nao fyongo wanatuburuza tuu
 
Back
Top Bottom