Curtis the Second
JF-Expert Member
- Jul 10, 2016
- 245
- 216
vip nasikia dom viwanja vimepanda bei dakika chache baada ya tamkohivi hizi wizara miaka yote zimeshindwa kuwa na visurb wizara mikoani leo ndiyo zinaleta mbwembwe za kuhamia Dodoma?
una manufaa gani kwangu wizara kuhamia huko?
ilhali bado nitasafiri kutoka Nanjilinji kuifuata wizara,
kikubwa muweke na ofisi za kanda tusaidiwe shida zetu huko.