Katika yote aliyoandika Mwanasheria wewe umeguswa na hayo tuu??Bihashara=biashara; gafra=ghafla. No further comments
Unajuaje ni uongo au mkweli ni yule aliyesema serikali itazinunua korosho kwa siku mbili.Ukiwa muongo inabidi pia ujue namna ya kuandika uwongo uliokaribu ma ukweli!
Hii story yako utawaokota nyumbu wengi!
Pole sana Mkuu..ila hiyo uliyokuwa unafanya ndio KANGOMBA..yaani unanunua korosho kwa mkulima kwa shilingi 1000 ili wewe uje kuuza kwa 3300. Japo umesema hukuwa unawalazimisha ila ulitumia shida za wakulima kujinufaisha. Suala lako linafanana na utetezi wa kufanya mapenzi na binti chini ya miaka 18, hata kama ulimtongoza na kukubaliana lakini sheria itakuambia umebaka.
Kwani ameomba ushauri wa kisheria Mkuu katika mada yake?Katika yote aliyoandika Mwanasheria wewe umeguswa na hayo tuu??
Yaani hauna hata ushauri wa kisheria kwa middlemen Huyu anaewakilisha wenzake wengi tu wahanga wa uamuzi wa serikali hii.??!
Sad
Na atambue kuwa kuichukia serikali iliyo madarakani sio kosa bali kosa ni kuichukia nchi yako. Kuna sababu gani za kuipenda serikali kama imeingia madarakani kwa ulaghai, inaendesha dhuluma, mauaji na kuminya uhuru wa raia?Pole sana, ila kwenye para ya mwisho naomba neno Tanzania lisomeke 'serikali', usiichukie nchi yako bali unaweza kuichukia serikali iliyopo. Asante.
Story ya uongo na uchochezi. Eti mstaafu kanikopesha mil. 10???.Ukiwa muongo inabidi pia ujue namna ya kuandika uwongo uliokaribu ma ukweli!
Hii story yako utawaokota nyumbu wengi!
Serikali haina tofati na kangomba, inatumia shida za wafanyakazi kujinufaisha na mafao yao, niichangie kwa miaka 35 inakaa na pesa zangu bila riba leo nimezeeka inaniona wa nini kama siyo wizi ni nini.Pole sana Mkuu..ila hiyo uliyokuwa unafanya ndio KANGOMBA..yaani unanunua korosho kwa mkulima kwa shilingi 1000 ili wewe uje kuuza kwa 3300. Japo umesema hukuwa unawalazimisha ila ulitumia shida za wakulima kujinufaisha. Suala lako linafanana na utetezi wa kufanya mapenzi na binti chini ya miaka 18, hata kama ulimtongoza na kukubaliana lakini sheria itakuambia umebaka.
Bihashara=biashara; gafra=ghafla. No further comments
Kila nikirudia kusoma humo nilipoweka Red naona sielewi kama ulienda kwa lengo la kwenda kununua korosho huko kusini au ulikuwa unapita tu ukaombwa na wakulima wa korosho ununue korosho zao?Aisee so pain, nalia sijui nianzie wapi.
Baada ya kukaa bila ajira niliamua kujiajiri bihashara ikawa ngumu, ikabidi nibadilishe aina ya bihashara, kutokana na ndugu yangu alifanya biashara ya Korosho na ikamlipa nikaamua na mimi kutafuta riziki kupitia korosho.
Sikua na mtaji mbaba mmoja ni family friend alikuwa amestaafu so pensheni alikuwa nayo basi akanionea huruma na kunikopesha milioni kumi(10m).
Basi nkaenda kusini aise wananchi walikuwa na hali mbaya yaani mtu mwenyewe ndo anakuletea au kukuitia korosho, basi nilinunua tena bila kumlazimisha mkulima, bali mkulima ndo anakuomba ununua maana hata pesa ya sukari anakuwa hana.
Serikali walipokuja kuhakiki wakaniuliza kama nina shamba nkawaambia sina, me nimekuja kufanya bihashara kama mtanzania maana ni haki yangu kuishi popote,
Bila huruma wakataifisha korosho zangu, nilizimia baadae nkazinduka, Baba alipopata tarifa naye alizima gafra.
Mzee aliyenisave hela ananidai na serikali imechukua Korosho zangu.
Basi Baba ameamua kumuuzia shamba letu maana hakuna jinsi ya kulipa deni.
Naichukia sana Tanzania, sahivi naisi kujitoa muhanga.
Pole sana Mkuu..ila hiyo uliyokuwa unafanya ndio KANGOMBA..yaani unanunua korosho kwa mkulima kwa shilingi 1000 ili wewe uje kuuza kwa 3300. Japo umesema hukuwa unawalazimisha ila ulitumia shida za wakulima kujinufaisha. Suala lako linafanana na utetezi wa kufanya mapenzi na binti chini ya miaka 18, hata kama ulimtongoza na kukubaliana lakini sheria itakuambia umebaka.