Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,379
SERIKALI IMENIDHARIRISHA.
Dkt. Kitila Mkumbo ni Mtumishi wa Umma(UDSM) na ni Mwanasiasa ndani ya ACT. Mwl. Deogratius Kisandu ni Mtumishi wa Umma(Mkolani sekondari-Mwanza) na ni Mwanasiasa aliyepitia vyama vya Chadema, Nccr mageuzi na CCM, na sasa anaanzisha Chama chake kipya cha Arena for Correcting Africa -Tanzania (ACA). Lakini Kisandu mmemuwekea vikwazo bila sababu na kumfilisi kwa makusudi. Mbona Kitila hamjamfukuza kazi? Kama sio unafiki ni nini?
Sasa nafanya navyotaka. Mmenionea sana, liwalo na liwe.
Nimechoka kukaa DETENTION. Na Polisi siendi kuripoti tena hata mlete Defender.
Deogratius N Kisandu
Mtemi Kiongozi wa ACA tarajiwa.