Serikali imefilisika?

- Pathetic! Mwalimu anaweza kufundisha vyumba viwili vya darasa kwa wakati mmoja?

- Kufundisha somo zaidi ya moja hakumfanyi mwalimu afundishe madarasa tofauti kwa wakati mmoja.
Kwahiyo unataka kila mwalimu awe na somo moja..?kitu ambacho ni ngumu kwa nchi hii...au umesahau Ndugai aliwahi kusema mwalimu mmoja afundishe masomo hata matano.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom