The Iron
JF-Expert Member
- Apr 7, 2017
- 1,393
- 1,453
Kujitolea ni mpka uhongeNa wewe unajitolea
Kujitolea ni mpka uhongeNa wewe unajitolea
We materu au kihiyoHivi walimu na nyie wakulilia ajira kweli wakati mna maarifa tosha mnashindwa kugeuza changamoto kuwa fursa,huku mitaani kuna kundi kubwa la vijana ambao kwa namna moja au nyingine walishindwa kufanya vizuri kwenye matokeo ya mitihani hasa kidato cha nne na sita kweli mnashindwa kujiunga vikundi mkaomba hata madarasa ya shule zetu za umma mkafundisha vijana ili wasonge mbele zaidi,naimani hamuwezi kosa suport ya serikali na wadau mbalimbali wapo wanaopenda elimu isonge mbele.Walimu waliajiriwa miezi michache tu iliyopita walimu elfu 6 baadae elfu sita tena kama sijakosea.
Utasubiri mpaka CCM itakapo ng'atuka.Mmh!! Ngoja tusubiri majibu!!
Walimu 7000, madarasa 15000! Ok, video conference.Oky viajira uchwara watoto wetu hawafundishwi,,, afu unasema ajira elfu 7 zinatosha
hata mim nimeshabgaa acha kwanza waende hao buku 7.ni weng ogopa sana.hiv unajua bajet ya kuajiri nimkubwa kias kwamba inahitaj umakin.angalia tu bajet ya nyumban kwako ilvo ndio ujue ngumu kias gani kuendesha nchiHebu subiri hao 7000 waajiriwe kwanza usitupre-empty matumaini hao 3000 ni wachache kuliko watakaoajiriwa if the plan is successful. Then baada ya hapo tutauliza waseme wamefeli au wataajiri, but at least watakuwa wameajiri zaidi ya asilimia 70 ya matarajio which is okay as long wanaendelea kuajiri serikali so ndio hii hii au?
Acha kukatisha watu tamaa, wanaanza kuajiliwa waliomaliza zamani, mtiririko utaendelea hadi wote, kumbuka kuna watu wanastaafu kila mwaka, wanakufa, wanaacha kazi n.k Kubwa zaidi watz tunajua kuzaliana, simbilisi haoni ndani!! Kila mwaka mwaka ni kujenga madarasa na kamwe hayatatosha, ajira za waalimu zipo za kutosha, ni muda tuWataajiriwa 7000, sawa! Watabk 83,000 upo!
Kama unategemea ajira ya ualimu nasikitika kukuarifu kuwa huenda usiajiriwe milele
Wewe jamaa hata akili huna..kwahiyo madarasa elfu 15 yawe na walimu sawa..manake kila darasa mwalimu mmoja..hopless kabisa.Mwaka wa fedha 2021/2022 serikali ilipanga kuongeza watumishi idara ya Elimu ili kuinua kiwango Cha Elimu nchini
Mwezi October Ummy Mwalimu alisema serikali itaajiri walimu elfu 10, kabla ya December, mpaka mwaka unaisha hakuna Mwalimu aliyeajiliwa
Leo Waziri Bashungwa kasema wameomba kibari Cha kuajiri walimu elfu7, yaani kwenye bajeti walisema wataajiri elfu 10,, sahivi wanasema ni elfu 7, tumebaki na miezi 5 kumaliza mwaka wa bajeti.
Unajenga madarasa kwa mkopo, yapatayo elfu15 afu unaajiri walimu elfu7, je serikali haina hela za kuajiri walimu wa kufundisha watoto wetu? Kama hela zipo why wapunguze idadi ya kuajiri from elfu 10 to elfu7?
Ebu tujibu nyie watu wa CCM
Graduates hawawezi kukuelewa.Lengo la serikali kuajiri ni kuondoa tatizo la upungufu wa watumishi na siyo kuhakikisha wahitimu wote wanapata kazi.
Wahitimu watumie elimu na maarifa waliyoyapata ktk masomo yao kujiajiri
Ukweli mchungu..ila hawataki kusikia..wanasubiri muujiza huku wakiilaumu serikali kila uchwao.Wataajiriwa 7000, sawa! Watabk 83,000 upo!
Kama unategemea ajira ya ualimu nasikitika kukuarifu kuwa huenda usiajiriwe milele
Jifariji..hivi wanao graduate wangapi kwa mwaka Vs wanaostaafu na kufariki?Acha kukatisha watu tamaa, wanaanza kuajiliwa waliomaliza zamani, mtiririko utaendelea hadi wote, kumbuka kuna watu wanastaafu kila mwaka, wanakufa, wanaacha kazi n.k Kubwa zaidi watz tunajua kuzaliana, simbilisi haoni ndani!! Kila mwaka mwaka ni kujenga madarasa na kamwe hayatatosha, ajira za waalimu zipo za kutosha, ni muda tu
Kila darasa lazima liwe na mwalimu katika kila kipindi, Wewe ndio huna akili.Wewe jamaa hata akili huna..kwahiyo madarasa elfu 15 yawe na walimu sawa..manake kila darasa mwalimu mmoja..hopless kabisa.
Halafu hizo ajira hua ni maneno ya kisiasa tu..watasema watumishi elfu 7 ila kiuharisia hata elfu 2 hawafiki.
Zidisha dua.
#MaendeleoHayanaChama
Vipindi vipo vingapi kwa siku..kwa wiki..kwa mwezi..kwa mwaka..Kila darasa lazima liwe na mwalimu katika kila kipindi, Wewe ndio huna akili.
Shauri zao kama hawatanielewaGraduates hawawezi kukuelewa.
#MaendeleoHayanaChama
Kula kwa urefu wa kambaSina Imani na hii nchi kwa kweli ,ni uhuni uhuni tu unaendelea huko juu ...
Nipate niwapeleke wapiHi nchi propaganda zimezidi, waziri anaweza kudanganya bila hofu kwa sababu hatuna ustaarabu wa kuwajibika
Subiri Kwanza upate hata hao elfu saba (7,000) ndio uhoji 3,000