Biggs
JF-Expert Member
- May 3, 2014
- 1,920
- 2,078
Labda kama wameamua kuanza na Mwaka wa Fedha mbao kimsingi huanzia Mwezi Julai (July 2021-June 2022).Jamani tupate mrejesho kwa walionunua umeme mmekatwa ngapi? Tozo za Kodi ya nyumba jamani tuliambiwa Ni tshs 1000 Sasa nimekatwa tshs 2000 naambiwa Ni debt collected. Naona kazi imeanza, kwa staili hii unaweza katwa tena hivi shida Ni nini serikali yetuu...Zamani nilikuwa nawaombea Sana viongozi lkn from now naanza kuombea watu wanyonge tuu hawa viongozi siwaelewi yaan.