Serikali ilisema inakata tshs 1000 tu kwa nyumba za kawaida wamekata tshs 2000

Jamani tupate mrejesho kwa walionunua umeme mmekatwa ngapi? Tozo za Kodi ya nyumba jamani tuliambiwa Ni tshs 1000 Sasa nimekatwa tshs 2000 naambiwa Ni debt collected. Naona kazi imeanza, kwa staili hii unaweza katwa tena hivi shida Ni nini serikali yetuu...Zamani nilikuwa nawaombea Sana viongozi lkn from now naanza kuombea watu wanyonge tuu hawa viongozi siwaelewi yaan.
Zamani nilikuwa nawaombea Sana viongozi lkn from now naanza kuombea watu wanyonge tuu hawa viongozi siwaelewi yaan
Badala ya kuwaombea maskini na wenye shida mbalimbali wewe ulikuwa unawaombea walioshiba
 
Malipo yamekamilika.3713620xxxx
99001212322xxxx
Units 2.9KWH

Token 2806 4508 4034 5xxxxxxxxx

Cost 819.68
VAT 18% 147.53
EWURA 1% 8.20
REA 3% 24.59
Debt Collected 2,000.00
TOTAL 3,000.00 20/08/21
 
Kuna watu huku walisema JPM asikilizi ushauri wa wataalam wala viongozi wenzie na anajiamulia mambo yake mwenyewe, leo kaingia mama anasikiliza ushauri mmeanza tena kulalamika, hivi mnataka kiongozi wa namna gani?. Kwa tabia hizi za hata akija malaika tutamkosoa tu.

Miaka yote ya utawala wa JPM kuna watu humu ilikuwa kila wakianzisha thread ni yakumkosoa vikali au kumzodoa JPM, hata walioinuka kumtetea walizodolewa.Mungu akaona isiwe tabu akamchukua, tukampata mama yetu, lile kundi lililokuwa linamzodoa JPM likaanza kumwaga sifa kwa mama kedekede. Cha ajabu hata miezi sita ya utawala wa mama hujaisha wanaanza kukosoa. Embu mwacheni mama afanye kazi mama yetu ni msikivu tumpe muda.
 
Zamani nilikuwa nawaombea Sana viongozi lkn from now naanza kuombea watu wanyonge tuu hawa viongozi siwaelewi yaan
Badala ya kuwaombea maskini na wenye shida mbalimbali wewe ulikuwa unawaombea walioshiba
Unajua ukiombea viongozi Ni kama umemuombea dereva vile Sasa hawa wa Sasa hawaeleweki unaweza ombea matokeo yake wanakuja kivingine hadi kero mkuu
 
AM1hnY.jpg
 
Kwani ukikodisha nyumba si inakuwa yako mapaka mkataba uishe?

Kuna utofauti wa kupanga na kununua, nyumba umepanga inakuaje yako? Ndomana sheria inataka landlord alipie withholding Tax na sio mpangaji. Kwasababu yeye ndo amepokea income ile ni kama source yake ya income kama biashara zingine
 
Jamani tupate mrejesho kwa walionunua umeme mmekatwa ngapi? Tozo za Kodi ya nyumba jamani tuliambiwa Ni tshs 1000 Sasa nimekatwa tshs 2000 naambiwa Ni debt collected. Naona kazi imeanza, kwa staili hii unaweza katwa tena hivi shida Ni nini serikali yetuu...Zamani nilikuwa nawaombea Sana viongozi lkn from now naanza kuombea watu wanyonge tuu hawa viongozi siwaelewi yaan.
Nadhani wamekata July na August.
 
Hujaweka ushahidi.
 
Back
Top Bottom