Serikali ilipokosea katika madai ya madaktari

Serikali ilipokosea katika madai ya madaktari

dogo.... i am sure kuna wakati you read what you write or listen to your inner self and realize that you are sitting on a glass sofa

jah bless your intelligence as time goes by....

brotherly advice

I may be older than your Dad.

My simple questions prompt you to provoke me? you are the greatest tinker of them all.

quote_icon.png
By zomba

Hii mijadala bado inaendelea?

Vipi hali ya Ulimboka? hajambo?
 
unaumia sana maana hadi sasa hujasikia habari mbaya ya afya yake

Kipi kilichokupelekea kuona hivyo? nimeuliza hali yake tu na kushangaa kuwa hii mijadala ya ulimboka bado inaendelea, kwani hata mgomo umeshakuwa historia.
 
Kipi kilichokupelekea kuona hivyo? nimeuliza hali yake tu na kushangaa kuwa hii mijadala ya ulimboka bado inaendelea, kwani hata mgomo umeshakuwa historia.

rudia maneno yako uliyosema awali, ila kama unaona mgomo umekuwa historia basi jaribu kuugua uone
 
Wamebakia kuandika ma thread humu kila kukicha baada ya kufukuzwa wanyama wale wakafie mbele huko.
 
rudia maneno yako uliyosema awali, ila kama unaona mgomo umekuwa historia basi jaribu kuugua uone

Haya hapa, kwa faida yako:

quote_icon.png
By zomba

Hii mijadala bado inaendelea?

Vipi hali ya Ulimboka? hajambo?

Kuna kipi kibaya hapo?
 
Jaman 2elewe hii nchi sio ya madaktar wenyewe madai/malalamiko ni mengi sio ya kwao 2 kuna walimu hapo wana mpaka wanatia huruma au hamuwaoni wao wangegoma mngekuwa hapo sahv mnaisumbua serikal?
 
imesemwa kila mara kwa madai ya madaktari wao si wafanyakazi pekee.
Hii ina maana tu iwapo serikari itathibitisha ya kwamba polisi wanalazimika kulinda maandamano kwa fimbo na si silaha za moto, walimu wanaweza kufundisha bila chalk,na kupima matokeo ya kazi yao bila mitihani kwa wanafunzi wao, hata wakulima wa jembe la mkono ndio wenye hali njema kiuchumi na wanaweza kulima bila mbolea na mbegu bora.
Serikari haina uwezo wa kufilisika, kwa maana ya kuacha ufahari na kuweka matabaka.
Serikari inatimiza andiko, mwenye hana hata kidogo alichonacho atanyanganywa.

Inaumaa
 
MAKOSA:
Jumla ya madaktari wote katika hospitali zaSerikali ni 1500, hii ikiwa ni takwimu ya Wizara ya Afya yam waka 2011 na
-Tafsiri ya pesa ya mazingira magumu kwa madaktari wote(KWANI SI MADAKTARI WOTE WAKO MAZINGIRA MAGUMU YA VIJIJINI)
!
Hebu ntajie wapi daktari (MD)umemuona anafanya kazi kijijini? au Wilayani kwako ni kijijni
 
Tanzania bila migomo ya wafanyakazi haiwezekani!!Wafanya kazi kutumikishwa kama punda bila kujali ugumu wakazi zao, muda wa kazi n.k..viongozi walioko madarakani wanasahau nani aliyewaweka, na wanadhani watakaa madarakani milele na kwamba hawatarudi huku mitaani!!
 
NAKUBALIANA NA WEE. Pamoja na madai ya kimaslahi, madaktar wametetea afya za watanzania kadr wawezavyo lakin sis wenye nchi ndo tumewaungusha kwa kushindwa kujitetea, hasa tunapokosa huduma muhim mahospitalin mwetu.

Serikali yetu inaendeshwa kisiasa hata kwa mambo ya msingi, UTETEZ wa madaktar ulilenga afya ya WATZ kwa miaka mingi ijayo na sio leo/kesho, lakin kwasababu watawala wamebakiza miaka 3 tu, wameona watumie nguvu na kusingizia serikali HAINA UWEZO, Kama haina uwezo mbona wao hawakos posho zao na wala mishahara yao haichelewi?? Mbona Mashangingi yapo kila ofis nyet nchi hii.? JIBU ni kwamba Serikal inaendeshwa kichwa chini miguu juu.

Na huo ndo ubaya wa kuweka darasa la saba na vit vya upendeleo pale mjengon, kamwe hawawezi kuisimamia serikali. Nchi ipo ipo tu sasa hiv, Boss hamwamin mwajiliwa na mwajiliwa kumwamin boss ndo haiwezekan kabisa, mtu akitumwa kaz lazima aulize mara mbili mbili. Tusifanye makosa 2015 hata kama chama hicho hicho lakin wawe viongoz sio wanasiasa wa siasa tupu, ili madaktar, walimu na watumish wengine tufanye kaz bila kugeuka geuka nyuma.
 
Back
Top Bottom