Serikali iko taabani kifedha

Serikali iko taabani kifedha

Lakini wakati huo huo Tundu Lisu anawaeleza ukweli kuwa kuandaa Benkiya kutoa mikopo kwa vijana
ni lugha ya kutongozea KURA 2015,Watz wengine wanamwona kama asiyewajali vijana.
Je nani anayewapenda vijana kwa yule anayesema ukweli au anayejipendekeza kwa kudanganya
na wakati akijua jambo hilo ni danganya toto na siku iishe a sign posho yake pale Dodoma.

Kama ni hivyo mbona Halmashauri ndio mhimili wa maendeleo ya jamii kila kona ya Nchi,fedha
hakuna,Je hizo za akina KINGWALANGWALA zitatoka wapi?

Wewe Kingwaangwala hata Wazee wa iliyokuwa EA sijui walilipwa fedha zao mpaka leo
serikali imekula fedha zao hadi wameona wakimbilie CDM.
Mikopo wa Vyuo vikuu wanafunzi wamekata tamaa na wakati huo hii mikopo inarudishwa
huu usanii hamtampata kijana wa Kitanzania atakayeingia kwenye mtego huo wa kitapeli tena.

Halmashauri nyingi zina madeni ya wajasiliamali waliozifanyia kazi tooeni fedha
Hazina ili zilipie madeni hayo kabla ya kuleta usanii wenu Bungeni.
 
priority -- tunajenga mji mpya wa kisasa kigamboni 12trilion.

FUSO!
This comment is supersonic! Hongera kwa kuliona hilo! Dar hakuna maji Mnyika anapeleka hoja inazimwa lakini Tibaijuka na Juha Kalulu( Jakaya Kikwete) wako bussy kuanzisha a satellite City in Kigamboni? Tiba aliona kule Kenya wamejenga na kwa kutaka ufahari na Sifa za Kihaya( sorry I don't want to be a tribalist) but ukweli ndio huo. Hata Umeme hakuna how do you think of a modern city?? Fuso nisaidie ninayo ilani ya CCM ya mwaka 2010 sijiona Kigamboni japo mchoro wa Daraja upo. Kwa Hilo CCM ni janga? Mitaala inasakwa and why Print them it was just simple PDF one copy na kuiweka hapa Jf and kila mtu angesoma au wapatie NIPASHE to print for all. Aliyepiga chapa kapata ulaji je alipatikana kwa Zabuni? This chama is wonderful
 
Wadau wakati huu halmashauri zote nchini zipo Dar es salaam kuwasilisha mipango ya bajeti ya 2013/14 lakini cha ajabu ni kwamba fedha za utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa mwaka 2012/13 hazijaletwa wilayani hata senti moja yaani tunaandaa bajeti mpya wakati iliyopita haijatekelezwa na hii ni robo ya tatu ya mwaka wa fedha nashangaa sana alafu waziri wa fedha anajinadi bungeni kuwa uchumi unakwenda vizuri......kwa kweli tunaelekea kubaya wananchi wenzangu

Baadae tutajua nini tulichofanya...bado sana kujua effect yake.
 
kweli serikali hii ni maiti inayosubiria jeneza kama mambo yako hivi.leo wanafunzi wa vyuo vikuu wanalipwa fedha za mkopo nusu nusu ndo maana baadhi wanafunzi wanalia sababu tangia octoba hawajapata fedha hizo.Tutafika kweli kwa namna hii!.
 
Wadau wakati huu halmashauri zote nchini zipo Dar es salaam kuwasilisha mipango ya bajeti ya 2013/14 lakini cha ajabu ni kwamba fedha za utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa mwaka 2012/13 hazijaletwa wilayani hata senti moja yaani tunaandaa bajeti mpya wakati iliyopita haijatekelezwa na hii ni robo ya tatu ya mwaka wa fedha nashangaa sana alafu waziri wa fedha anajinadi bungeni kuwa uchumi unakwenda vizuri......kwa kweli tunaelekea kubaya wananchi wenzangu
mishahara ya mwezi wa kwanza hatujapata
 
kizazi kijacho kitatulaumu kwa uzembe tunaoufanya. kizazi kijacho kinaangamia.
 
Ni bora tu isipeleke huko halmashauri ili hizo kidogo wanazopata waone aibu kuzila!kwani hakuna tofauti ninayoiona mimi mwananchi wa kawaida kama ni barabara mbovu sana wakati wa mvua,shule ziko vilevile michango kibao,hospitali kununua dawa na vifaa kama kazi,maji yaleyale ya km 5!Labda tu watakuwa wamepunguziwa posho mabwana wakubwa wa hizi halmashauri ila hata hivyo jamaa bado wanakamua tuu!Siamini kama kweli serikali haijatuma fedha za maendeleo.
 
Vasco na madalali wenzake wanazunguka kututafutia mnada. Siku akipata anatuuza then anahamia sayari za mbali. Get real folks!
 
CCM, CCM, CCM, CCM, CCM,CCM......ndivyo ilivyokuwa bungeni juzi
 
Habari kama hizi huwa zinanifariji kwakuwa najua mwisho wa CCM ndo umefika!!
 
Kweli Tanzania ni nchi ya pekee Duniani, bora ya Somalia ilipokaa miaka mingi bila ya kuwa na serikali inaweza kujitetea.
 
Ni kweli!..serikali imejaa mizengwe, uongo na ubadhirifu mkubwa sana wa rasilimali za nchi hii. Ukimuona mkuu wa nchi anavyo fanya safari za kianasa huko ughaibuni, au msafara wake napokuwa ana toka au kuelekea Bagamoyo utadhani ni raisi wa nchi yenye uchumi mziri sana. Angalia baadhi ya mawaziri wanavyo tumbua maisha ndani ya hoteli za madaraja ya juu, kisha geuka uangali hali ilivyo katika ofisi za umma, hospitali na zahanati au basi angalia hali ya shule za umma na kile kinachoendelea madarasani na matokeo ya mithani.
Kama hili halitoshi angalia mikutano ya ccm na kiwango cha rushwa, ngono na ushirikina katka uchaguzi, utaelewa kwanini wazazi wake walimwita jakayaaaaaa!..
 
​Tanzania ni nchi pekee duniani ambayo bunge lake hupitisha bajeti hewa!
 
Nchi ya kusadikika na watu pia ni wa kusadikika.Mungu utujibu maombi yetu haraka maana sikio lako si zito lishindwe sikia.2015 Ccm ianguke vby kwenye uchaguzi ili laana hii ituepuke.
Tumechoka usanii na mafanikio kwa wachache tu.
 
nimewahi kuongea na mwalimu rafiki yangu anahasira na serikali kwani imegoma kuwapandisha madaraja tangu mwaka juzi walipostahili kupanda. katika awamu zote hili ktuko. hata stahili ya daraja la mtumishi? inawezekana kihenge kimeyumba kumbe ndio sababu. ni vema serikali ikwajibika kwa watu wake kuondoa chuki kwa serikali hata kama inamaliza muda wake
 
Back
Top Bottom