Sijali
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 2,700
- 1,853
Budget ya mwaka 2012/2013 wameshindwa kutekeleza tasisi nyingi na halmashauri ziko hoi kifedha,bungeni wanacheza tu nchi inaaangamia.
Mbona mna haraka? Ngojeeni afungue mapochopocho. Ndiyo kwanza amerudi kutoka kuomba.