Serikali ikiendelea kuwachekea hawa masheikh ikiamini wanaisaidia serikali watazalisha tatizo ambalo hawataweza kulitibu

Ni kama ukimsema MZUNGU unamsema MKRISTO,hivi huu ujinga mtauacha lini WAKRISTO?
Mmmmh hatuna huo ujinga sisi,mikataba kibao mibovu ya wazungu imelalamikiwa bila kujali nani aliingia,Nyerere na Magufuli hawakuwachekea wazungu hata kidogo naona mnajitukana.Eti waislam wote ni ndugu,upumbavu uliopitiliza.
 
Mmmmh hatuna huo ujinga sisi,mikataba kibao mibovu ya wazungu imelalamikiwa bila kujali nani aliingia,Nyerere na Magufuli hawakuwachekea wazungu hata kidogo naona mnajitukana.Eti waislam wote ni ndugu,upumbavu uliopitiliza.
Uongo na kujikweza ndio maisha yenu,wakati magufuli anakopa kwenye mabenki ya biashara huko kuja kufanya miradi huku wala hamkukenua vinywa vyenu,endelea kujiongopea KAFIRI
 
Tatizo dini imezalisha mamburula mengi na yamejificha huko kwenye dini.
 
Ni udhaifu mkubwa sana Na wa mwisho kwa kiongozi kutegemea kubebwa na udini na ukabila?!
 
wenzio kina wanasema hakuna mkataba ni makubaliano, wengine wanabwabwaje lingine, jana chongolo kasemaje! madalali hawasemi unarekebishwa. Usingevujishwa ingekuwaje? embu kuweni na akili ndugu zangu waislam mnaotetea ujinga mkidhani tupo kwenye jihad au mashindano ya kiimani, acheni. Tulizeni vichwa. Utu kwanza. Watu tulimsema sana mwendazake na ukatoliki wake japo mimi pia mkatoliki akatamani aifunge mitandao yote ya kijamii
 
Ukweli ni kuwa wafadhili wa hawa masheikh "ubwabwa" ni CCM wenyewe wakidhani watapooza ufisadi wa DPW kumbe wanaharibu ustawi wa Nchi!
 
Mbaya zaidi wanatumiwa mashehe Ubwabwa na akina Maalim Kitumbua! Njaa na uchawa unaliangamiza Taifa.
 
Hii hoja ya ajabu sana! Kwamba Maaskofu wanaopinga Mkataba wa DP World wako sahihi na hawaleti uvunjifu wa amani ila Masheikh wanaounga mkono Mkataba wa DP World ndio wataleta vurugu? Hizi hoja mnazitoa wapi?
 
Hili swala halina ubishi udini ni nje nje...time wl tell....maana kuna upande wanaona ndo time ya kustawisha dini yao...
Hakuna udini wowote Ila walioishiwa hoja wanauibua makusudi ili kuzima ukosoaji Ila mwishowe watavuna wanachokipanda.
 
Hakuna udini wowote Ila walioishiwa hoja wanauibua makusudi ili kuzima ukosoaji Ila mwishowe watavuna wanachokipanda.
Nenda sehem take a simple research...chukua Muslims 10.. waulze swala la mwarabu wa DP WORLD uone wangap wanapinga ....then leta mrejesho...
 
DP World atoswe kwa maslahi mapana ya umoja wa kitaifa
 
Siri tayari zimevuja. DPW wamewaahidi Waislamu kuwajengea Misikiti na kuwapa Futari wakati wa Ramadhan!
 
Ni serikali hii ya CCM ndiyo imewapa hao mashehe kandarasi ya kutetea mkataba wa DP World baada ya kuelemewa na hoja za Watanganyika Wazalendo
 
Na akil zangu hizi nikae chini kupoteza muda kwenye mijadala ya kidin.. huu uzi ni mahala pa watoto
 
Askofu Maximilian anaona ufahari kuupinga uwekezaji wa DP World katika mahubiri yake kanisani, anachosahau ni kuwa Hunchingson wanaomiliki TICTS ni wakristo waliokaa pale TPA kwa miaka 22.

Huo ukweli hawezi kuuona kwa sababu waliomjaza ujinga ni wakristo wenzetu kwamba waarabu waliotutawala wanarudi tena kwa mlango wa uwekezaji!, hawakumwambia kuwa TICTS ya wakristo imefanya kazi hiyo hiyo kwa miaka 22 katika eneo hilo hilo!.

Samia anashambuliwa chini kwa chini na sisi wakristo, baadhi yetu tunajiona kama vile kwenye simu zetu kuna namba za kina Yesu, Yakobo na Mtume Petro, tunajihesabia haki tukisahau kuwa wapo waislam wengi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…