Imani rubaba
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 252
- 328
Kwa sasa mkoa wa Mwanza unakabiliwa na mlipuko mkubwa wa homa ya nguruwe. Ugonjwa huu umesababisha hasara kubwa kwa wafugaji wengi – mabanda mengi yamesafishwa na nguruwe kufa kwa wingi.
Kutokana na hali hiyo, sisi kama Chief Farm tumechukua tahadhari kali za kibaiolojia (biosecurity measures) ili kulinda mifugo yetu:
✅ Tumepunguza idadi ya watu wanaoingia shambani – asiye na kazi haruhusiwi kuingia.
✅ Shamba linafungwa muda wote.
✅ Tumeweka sehemu za kunawa miguu (footbaths) na vitakasa mikono (sanitizers).
✅ Wafanyakazi wanatumia mavazi maalum ya kuingilia shambani.
✅ Udhibiti mkali wa wageni na vifaa vinavyoingia shambani.
Lengo ni kuzuia maambukizi kuingia kupitia watu, mavazi au vifaa kutoka nje ya shamba.
Hata hivyo, ni muhimu mamlaka husika kuingilia kati kwa haraka ili kusaidia kudhibiti hali hii, kwani inaleta athari kubwa kiuchumi kwa wafugaji.
— Aloyce, Mfugaji wa Nguruwe – Mwanza
---
📢 JIUNGE NA GROUP LA MAFUNZO YA KILIMO & UFUGAJI WA KIBIASHARA – RUBABA MEDIA
Kupitia group letu utapata:
✔ Mafunzo ya vitendo moja kwa moja kutoka shambani
✔ Ushauri wa kitaalamu kutoka kwa wataalamu wenye uzoefu
✔ Mbinu za kuongeza uzalishaji na kupunguza hasara
✔ Mwongozo wa masoko na mikakati ya kuongeza faida
📩 Tuma ujumbe: NIUNGE
📞 WhatsApp: 0764 148 221
---
📦 KUMBUKA:
Matokeo makubwa huanzia kwenye lishe bora ya mifugo.
Tunashauri matumizi ya bidhaa za Koudijs Tanzania kwa:
✔ Kuku
✔ Nguruwe
✔ Samaki
---
#KilimoTanzania
#UfugajiWaKibiashara
#UfugajiWaNguruwe
#RubabaTV
#RubabaMedia
#KilimoChaKisasa
#TijaNaFaida
#Inawezekana