homa ya nguruwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. nyabhera

    JamiiForums Tanzania Msaada: Matibabu ya homa ya nguruwe

    Naishi Mwanza. Shida imenianza tarehe 3/04/2026. Alianza mmoja hali anasinzia akatapika nikamchinja kesho yaka akaanza wingine nikamchinja. Kukapoa kama siku 4 hivi. Leo tarehe 08.04. 2026 mmoja mwenye mimba imetoka pia alikua mchovu tangu jana. Wawili wadogo wamekufa ghafla Naona vita...
  2. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati, homa ya nguruwe inafirisi wafugaji

    Kwa sasa mkoa wa Mwanza unakabiliwa na mlipuko mkubwa wa homa ya nguruwe. Ugonjwa huu umesababisha hasara kubwa kwa wafugaji wengi – mabanda mengi yamesafishwa na nguruwe kufa kwa wingi. Kutokana na hali hiyo, sisi kama Chief Farm tumechukua tahadhari kali za kibaiolojia (biosecurity measures)...
  3. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania HOMA YA NGURUWE, UGONJWA HATARI USIO NA CHANJO WALA TIBA 🙌🥺

    Hivi karibuni Rubaba Media tumepokea simu na ujumbe mwingi kutoka kwa wafugaji wa nguruwe maeneo mbalimbali nchini. Changamoto kubwa inayojirudia ni vifo vya nguruwe kutokea kwa makundi, hali ambayo imeleta hofu na hasara kubwa kwa wafugaji wengi. Wapo wafugaji wanaohusisha vifo hivyo moja kwa...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mlipuko wa Homa ya Nguruwe (ASF), Kuna nini Wizara ya Mifugo ???

    Toka mwaka huu uanze kumekuwa na mlipuko mkubwa wa homa ya nguruwe (ASF) kwa mikoa ya Dar es salaam, Morogoro, Pwani, Tanga na sasa Arusha na Kilimanjaro ugonjwa unaendelea kushika kasi. Kwa sasa nyama ya kitimoto inayouzwa kwenye mabucha Arusha na Moshi kwa kiasi kikubwa inatokana na nguruwe...
Back
Top Bottom