Serikali ichunguze shule ya wasichana Loreto Mwanza

Serikali ichunguze shule ya wasichana Loreto Mwanza

Tujikite kwenye hoja ndugu, kwako elfu kumi yaweza kuwa ndogo, vp kwa wanafamilia ya watu watano mpaka kumi wanaotaka kupata kumbukumbu mazingira hayo hayo aliyoishi ndugu yao kwa miaka minne..!?

Ushauri tu unaeza anzisha uzi wa hoja yako kama utapenda isikike vyema
Familia gani hiyo isiyo na kazi za kufanya mpaka waende watu kumi wote?.
.
Hoja yangu ya wale watoto kusagana ni kukupa alert tu ya kinachoendelea.
.
Nendeni watu watatu wengine wakafanye kazi zingine huyo akihitimu kidato cha sita si mtaenda ukoo mzima funguka mkuu.
 
Shuleni waende wachache au wawakilishi.. Then wengine mfanye part yenu kitaa.. Coz wakiruhusu kila mtu ake na kijiji chake hapo shule itakua ni balaa jingine
 
Kwenye sherehe ya kuwaaga nafikiri huwa wana alikwa wazazi wa anaye hitimu ..sioni ubaya maana kama mtakuwa na shida ya kumpongeza msubiri akirudi ,maana pale kinachofanyika ni kumbukumbu
..me naona tozo iongezwe kidogo ili kupunguza foleni watu wapate hewa wafurahie mahafali
 
Ni shule ya Serikali au private?
Ni lazima mwanao asome hapo?
Kama hapafai beba mwanao hamishia shule nyingine mbona shule zipo nyingi tu siyo kila kitu mpaka serikali ifanye.
 
Nimekuja mbio mbio kichizi nikijua na hiyo loreto wameungana na wale wa dar sijui shule gani kuwa wanaunga mkono ushoga sasa nimekuj nimalize povu langu bahati nzuri mdau kumbe ameleta malalamiko ya mambo ya fedha nyie malizaneni tu kistaarabu
 
Ile ni shule ya wasichana, siku za graduation ndo vijana wa kiume wanatumia kuingia eneo la shule na kufanya mambo yasiyotakiwa kwa mgongo wa ndugu kuingia kwenye graduation!!!

Nadhan wamefanya hivyo ili kupunguza hiyo bugdha
Sasa mkuu huoni kama wakiiingia ndio itakuwa nafuu kidogo kwao maana mwisho wa siku zitawajaa wataanza kuwa sumbua walimu
 
Cha kusikitisha Kuna wazazi na ndugu wamesafiri toka mbali na sasa wako hapa Mwanza kwa maandalizi ya kupata kumbukumbu na mtoto wao aliyekaa mazingira mbali na wao kwa miaka minne, afu agizo linakuja hivo eti bila elfu kumi kila mgeni hutoruhusiwa kuingia getini, haya maumivu wanayo sababisha kwa tamaa za pesa ni tabia ya kulaaniwa
Kibaya ni kama hawakutoa taarifa mapema lkn kama taarifa ilitolewa mapema ina maana anaeenda kwenye mahafali keshajipanga, ila watu 10 wote mnaenda kufanya nini na mtoto anarudi home next week tu.
Kuna shule anasoma mtoto wa ndg yangu ni ya masister pia, mwezi wa sita watoto wakija likizo wanakuja na kadi za mualiko za kuhudhuria graduation, kwa wanafunzi wa kidato cha nne ni wageni wanne tu, madarasa mengine wageni ni wawili tu kwa kila mtoto, mkienda familia nzima mtaishia getini
 
Tujikite kwenye hoja ndugu, kwako elfu kumi yaweza kuwa ndogo, vp kwa wanafamilia ya watu watano mpaka kumi wanaotaka kupata kumbukumbu mazingira hayo hayo aliyoishi ndugu yao kwa miaka minne..!?

Ushauri tu unaeza anzisha uzi wa hoja yako kama utapenda isikike vyema
Watu watano wote hao mnaenda kufanya nini kama hamna uwezo?
 
Habari wana jukwaa!
Ina julikana yakuwa siku ya Juma mosi ya kesho kutwa tarehe 17/11/2018 Wanafunzi wa kidato cha nne wanafanya mahafali ya kuhitimu. Uongozi wa LORETO GIRLS MWANZA umeakuja na maamuzi ya kusikitisha ya kutaka kila mgeni afikaye siku hiyo ya mahafali shuleni hapo kuwa na kiingilio cha Tsh. 10,000/=

Binafsi naweza sema ni maamuzi ya ajabu hasa yasioshirikisha walengwa ambao ni wazazi, kuna familia zina watu 20 mpaka 10 hufika kuungana na ndugu yao katika siku hii muhimu, maana yake hii familia itapaswa kuacha Tsh. 200,000/= getini kama kiingilio.

Shule hii inageuza kumbukumbu za Wanafunzi wao kuwa mradi wa kujipatia mamilioni bila sababu sababu za msingi.

Haya yana umiza na yanawanyima wanafamilia haki yao ya msingi ya kujumuika na ndugu yao(zao).

Pia yanawanyima wanafunzi wao haki yao ya kujumuika na familia zao katika kumbukizi hi.

Inafahamika ya kuwa siku zote mzazi au mlezi aendapo loreto kusalimia mwanae au kuonana na uongozi hapakui na mambo ya ajabu kama haya, iweje uongozi ulete mambo haya katika siku muhmu sana ya kumbukizi kwa wanafunzi wao na wanafamilia wa wanafunzi wao.

Ombi langu kwa serikali, hii taasisi ichunguzwe tabia za aina hii si tu zinawaathiri wanafunz kisaikolojia kwa kuwanyima fursa ya kuonana na ndugu zao wote kwa furaha na upendo katika siku hii bali pia zina wapa masononeko ya mioyo na msongo wa mawazo jamii ya mwanafunzi na mwanafunzi kwa ujumla.

Wazazi na walezi wito kwenu pia tupazeni sauti kwa tabia za aina hii zinazo wanyima haki wanetu na ndugu zetu kujumuika nasi katika mazngira waliyoyazoea kwa miaka minne.

Naomba kuwasilisha.
Yaani wewe unaumwa na kama hauumwi una lako jambo. Ni utaratibu wa kawaida katika shule za msingi na sekondari hata chekechea mbalimbali hapa nchini kuwa na michango kwa ajili ya sherehe hizo.

Hao unaowataka wachunguze wana watoto wao wanaosoma kwenye shule kama hizo na wanalipa hela ya mahafari. Hili linategemea idadi ya washiriki kutoka upande wa mhitimu

Mbona unapambana na upepo? Au kwanini unarusha ngumi hewani? You are so strange
 
Habari wana jukwaa!
Ina julikana yakuwa siku ya Juma mosi ya kesho kutwa tarehe 17/11/2018 Wanafunzi wa kidato cha nne wanafanya mahafali ya kuhitimu. Uongozi wa LORETO GIRLS MWANZA umeakuja na maamuzi ya kusikitisha ya kutaka kila mgeni afikaye siku hiyo ya mahafali shuleni hapo kuwa na kiingilio cha Tsh. 10,000/=

Binafsi naweza sema ni maamuzi ya ajabu hasa yasioshirikisha walengwa ambao ni wazazi, kuna familia zina watu 20 mpaka 10 hufika kuungana na ndugu yao katika siku hii muhimu, maana yake hii familia itapaswa kuacha Tsh. 200,000/= getini kama kiingilio.

Shule hii inageuza kumbukumbu za Wanafunzi wao kuwa mradi wa kujipatia mamilioni bila sababu sababu za msingi.

Haya yana umiza na yanawanyima wanafamilia haki yao ya msingi ya kujumuika na ndugu yao(zao).

Pia yanawanyima wanafunzi wao haki yao ya kujumuika na familia zao katika kumbukizi hi.

Inafahamika ya kuwa siku zote mzazi au mlezi aendapo loreto kusalimia mwanae au kuonana na uongozi hapakui na mambo ya ajabu kama haya, iweje uongozi ulete mambo haya katika siku muhmu sana ya kumbukizi kwa wanafunzi wao na wanafamilia wa wanafunzi wao.

Ombi langu kwa serikali, hii taasisi ichunguzwe tabia za aina hii si tu zinawaathiri wanafunz kisaikolojia kwa kuwanyima fursa ya kuonana na ndugu zao wote kwa furaha na upendo katika siku hii bali pia zina wapa masononeko ya mioyo na msongo wa mawazo jamii ya mwanafunzi na mwanafunzi kwa ujumla.

Wazazi na walezi wito kwenu pia tupazeni sauti kwa tabia za aina hii zinazo wanyima haki wanetu na ndugu zetu kujumuika nasi katika mazngira waliyoyazoea kwa miaka minne.

Naomba kuwasilisha.
Hiyo shule iko Mwanza maeneo yapi?
 
Ndugu zao wa Mwanza sc ilikua 2000 wao wameifanya kua mara tano yake, inawezekana wameangalia namba ya wanafunzi wao wakaona iko chini, ili wafikie lengo inabidi wapandishe kiingilio.

Sina hakika kama Serikali inapata kodi kupitia haya mapato yanayo patikana kupitia miradi ya aina hii.
 
Kwa walio mwanza au wenyeji wa mwanzs wanisadie sehemu ambapo ntapata kazi yoyote ile ambayo haina uhitaji wa vigezo vya elimu
 
Back
Top Bottom