Serikali ichunguze shule ya wasichana Loreto Mwanza

Serikali ichunguze shule ya wasichana Loreto Mwanza

Ile ni shule ya wasichana, siku za graduation ndo vijana wa kiume wanatumia kuingia eneo la shule na kufanya mambo yasiyotakiwa kwa mgongo wa ndugu kuingia kwenye graduation!!!

Nadhan wamefanya hivyo ili kupunguza hiyo bugdha
We unamawazo madogo kweli..yaan mwanaume ukose 10000 kuingia maafali alafu unakademu kako kabichiii!!u CNT be serious.... Io ni sababu ya mwisho kabisa..nadhani vyuma vimekaza sana wanaangalia vyanzo vingine vya mapato
 
Kwa hiyo unadhani mtu atashindwa kulipia elfu kumi ili aingie ndani kufanya ufirauni? Tena hapo ndio atahakikisha elfu kumi yake inarudi akishaingia
Nmesema kupunguza na sio kuzuia...
Hata hivyo wengi wanaosumbua ni vijana wa shule ambao hiyo 10,000 kuipata kwao sio virahisi kama mabazazi wengine
 
Nadhani hiyo ni kupunguza wageni wengi kuliko wageni halisi
Pia nahis ni kutokana na matumbo na kulisha
 
Nmesema kupunguza na sio kuzuia...
Hata hivyo wengi wanaosumbua ni vijana wa shule ambao hiyo 10,000 kuipata kwao sio virahisi kama mabazazi wengine
Hata kwa mwanafunzi elfu kumi sio ishu...wewe hujawahi kuhonga hela ya mzazi eeh?
 
Ile ni shule ya wasichana, siku za graduation ndo vijana wa kiume wanatumia kuingia eneo la shule na kufanya mambo yasiyotakiwa kwa mgongo wa ndugu kuingia kwenye graduation!!!

Nadhan wamefanya hivyo ili kupunguza hiyo bugdha
Kama ni kuzuia huto tuvulana basi ndo wamepewa tiketi ha kujimwayamwaya, unadhani hutu tuvulana tunato balehe na wale bodaboda wakware ulufu 10 inawazuia kuingia kujipatia burudani kweli? Kama wangeambiwa elf 10 ni mchango wa ukuta wa shule hapo huwezi kumuona kijana yyte lkn kiingilio weeee!!!
 
Cha kusikitisha Kuna wazazi na ndugu wamesafiri toka mbali na sasa wako hapa Mwanza kwa maandalizi ya kupata kumbukumbu na mtoto wao aliyekaa mazingira mbali na wao kwa miaka minne, afu agizo linakuja hivo eti bila elfu kumi kila mgeni hutoruhusiwa kuingia getini, haya maumivu wanayo sababisha kwa tamaa za pesa ni tabia ya kulaaniwa
Wasubirie tu nje wakitoka ni mapicha ya kufa tembo kwa kwenda mbele tena watu watakua kibao alafu wakirudi makwao wamfanyie tafrija.
 
Hiyo ni namna ya kupunguza watu wasiyokua na umuhimu kuja na kujazana bila sababu za msingi...

Cc: mahondaw
 
Kwanza tujiulize ada ya hiyo shule ni sh ngapi?
Mtu anayelipa zaidi ya milion 1 ya ada hawazi kukosa 10000.
Mambo mengine mnayataka wenyewe.
 
Nmesema kupunguza na sio kuzuia...
Hata hivyo wengi wanaosumbua ni vijana wa shule ambao hiyo 10,000 kuipata kwao sio virahisi kama mabazazi wengine
Ohooo!! we kumbe huwajui wanafunzi wa kiume hiyo aflfu 10 ni mtihani akiambiwa kununua kitabu lkn kwa starehe utashangaa kitoto hata cha fom 1 kinatoa laki.
 
Hicho siyo kigezo Mkuu. Unadhani mwanaume mchu mwenye nia hicho kwakwe ni kwazo..!?
Mleta uzi nimekuelewa sana lakini naomba niseme kidogo usinielewe vibay;
Watanzania tuuchukie umaskini, najua unatetea wasiokuwa na uwezo sababu sisi twafahamiana uwezo wetu Watanzania.
-Kumbuka shulebitagharamia;

1. Muziki/ vyombo vya muziki na dj
2. Chakula kizuri

Je hao ndg 20 wa familia moja mara idadi ya wanafunzi 45=????
Je nani awalishe?
Tuuchukie umaskini na sio uongozi wa shule
Ile ni shule ya wasichana, siku za graduation ndo vijana wa kiume wanatumia kuingia eneo la shule na kufanya mambo yasiyotakiwa kwa mgongo wa ndugu kuingia kwenye graduation!!!

Nadhan wamefanya hivyo ili kupunguza hiyo bugdha
 
Wewe ni mwalimu, mzazi, mhitimu au mgeni tu?
 
Mh! Ndugu, yani shule ikurupuke tu kuchaji hela hiyo bila taarifa ama kuwashirikisha wadau? Usikute hukuhudhuria vikao fulani ndugu.Hebu tupe ushahidi kuwa wazazi hawakushirikishwa ili tukuunge mkono hapa.
 
Ile ni shule ya wasichana, siku za graduation ndo vijana wa kiume wanatumia kuingia eneo la shule na kufanya mambo yasiyotakiwa kwa mgongo wa ndugu kuingia kwenye graduation!!!

Nadhan wamefanya hivyo ili kupunguza hiyo bugdha
Ndiyo sababu kuu na kama kuna nyingine hyo ni minor sana
 
Mbona kuingia ubungo tunatoa mia mbili mbili huoni?
 
Habari wana jukwaa!
Ina julikana yakuwa siku ya Juma mosi ya kesho kutwa tarehe 17/11/2018 Wanafunzi wa kidato cha nne wanafanya mahafali ya kuhitimu. Uongozi wa LORETO GIRLS MWANZA umeakuja na maamuzi ya kusikitisha ya kutaka kila mgeni afikaye siku hiyo ya mahafali shuleni hapo kuwa na kiingilio cha Tsh. 10,000/=

Binafsi naweza sema ni maamuzi ya ajabu hasa yasioshirikisha walengwa ambao ni wazazi, kuna familia zina watu 20 mpaka 10 hufika kuungana na ndugu yao katika siku hii muhimu, maana yake hii familia itapaswa kuacha Tsh. 200,000/= getini kama kiingilio.

Shule hii inageuza kumbukumbu za Wanafunzi wao kuwa mradi wa kujipatia mamilioni bila sababu sababu za msingi.

Haya yana umiza na yanawanyima wanafamilia haki yao ya msingi ya kujumuika na ndugu yao(zao).

Pia yanawanyima wanafunzi wao haki yao ya kujumuika na familia zao katika kumbukizi hi.

Inafahamika ya kuwa siku zote mzazi au mlezi aendapo loreto kusalimia mwanae au kuonana na uongozi hapakui na mambo ya ajabu kama haya, iweje uongozi ulete mambo haya katika siku muhmu sana ya kumbukizi kwa wanafunzi wao na wanafamilia wa wanafunzi wao.

Ombi langu kwa serikali, hii taasisi ichunguzwe tabia za aina hii si tu zinawaathiri wanafunz kisaikolojia kwa kuwanyima fursa ya kuonana na ndugu zao wote kwa furaha na upendo katika siku hii bali pia zina wapa masononeko ya mioyo na msongo wa mawazo jamii ya mwanafunzi na mwanafunzi kwa ujumla.

Wazazi na walezi wito kwenu pia tupazeni sauti kwa tabia za aina hii zinazo wanyima haki wanetu na ndugu zetu kujumuika nasi katika mazngira waliyoyazoea kwa miaka minne.

Naomba kuwasilisha.
Hapo wamepigia galama za msosi
 
Na wao nia labda ni kupunguza idadi ya watu kwa familia ya watu kama wewe mnaotaka kwenda watu 10.
Mkifikiria laki kwa watu 10 lazima mpungue mbaki 2 ili mlipe elfu 20 tu na lengo litakuwa limetimia
 
Back
Top Bottom