Serikali hoi kifedha, Sasa kukopa...

Commercial banks wakiisha kopesha serikali pesa nyingi kiasi hicho basi wafanya hiashara hawakopeshwi, biashara zao zinadumaa.... pia riba za commercial banks ni kubwa sana... 16 to 24%... sasa kwa kiasu hicho cha hela, serikali itatoa wapi pesa za riba? Hii ni crisis na rasmi Tz inaingia kwenye financial crisis. ... wana JF mnao fanya kazi na serikali kuweni makini na waonyeni ndugu zenu wasifanye kazi na serikali....
 

Kuna CCM mbili:CCM imanini na CCM maslahi-Warioba.

Wengi wenu leo ni CCM maaslahi!
 
Ikifika April wafadhili bado wamebana, kuna kitu kuba bili tatokea.....! Acha Geshi likose salary utajua!!
 
sasa hapa wananchi watapata akili coz wanapigwa danadana na sound za kila siku kumbe ni mipango tu inapangwa ya kuiba fedha sasa na tuone mimi naomba misaada yote ipigwe chini ili serikali iwaambie ukweli wananchi hali halisi na hela zilizoko mikononi mwa watu hao majizi zirudi zikomboe uchumi na kama raisi kahusika kwa njia moja au nyingine au kutikujua aseme ukweli ndo tanzania yetu hii mambo yakiaharibika tuwekane sawa tanzania yetu isonge
 

Unafahamu serikali kupitia TRA inakusanya TZS ngapi kwa siku?
 

Baadhi ya unayosema ni kweli, lakini kuna uhusiano gani na sasa? Tangu Nyerere aondoke ni miaka mingapi? At least yeye hakuwa mfujaji, kama unayemtetea. Alikuwa honest. Mtu kama huyo ni rahisi kumsamehe, kama ambavyo wengi tumefanya. JK alikuta hazina imefurika. Akaanza kuzitafuna kwa kuunda baraza kubwa la Mawaziri (rafiki zake) na safari za nje za gharama.
Aliachiwa Tanzania ikiwa ready for a take-off. Shule zilikuwa zinajengwa, barabara, afya......zaidi ya hayo bei za bidhaa zikuwa muwafaka- inflation chini ya 6%
Nataka unjibu: ni kigezo gani unatumia kwa rais kufeli?
 
Ikifika April wafadhili bado wamebana, kuna kitu kuba bili tatokea.....! Acha Geshi likose salary utajua!!

Tuombe Mungu isiwe hivyo, yaani hapo maghala ya chakula ndio watazuia kwanza na pili airport jamaa wasitoroke
 
Ikifika April wafadhili bado wamebana, kuna kitu kuba bili tatokea.....! Acha Geshi likose salary utajua!!
hahahaha kweli kaka mabaka yakikosa mshahara itakuwa shughuli ngumu sana hawata kubali na wanajua hela hawa mafala wamekula. wanagawana eti sio za uma kama sio za uma ndo wagawane wangetudanganya basi wamelipa mikopo coz nchi ni kuomba kuomba tuu tuu. Mkubwa wa nchi mwenywe anaona hela za nchi yake za madafu wakati yeye ndo anatakiwa azipandishe ziwe za gold. Yani tulikosea saaaaana safari hii tuangalie mara mbili mbili wakati wa kufanya maamuzi ya mtu wa kutuongoza. Kwa sasa mtu ninae mwona ana maamuzi ni nywele nyeupe tu sijaona mtu mweingine anaweza shika hapo juu. Ukiangalia ukawa nao wanakuja vizuri tatizo nao bado hawajakomaa kisiasa hao wanafaa kuwajaza bungeni ili serikali ifanye kazi kwa viboko ila kusema tuwape nchi kabisa bado.
 
Tuombe Mungu isiwe hivyo, yaani hapo maghala ya chakula ndio watazuia kwanza na pili airport jamaa wasitoroke
Tena wanajeshi washike fimbo wawachape viboko huku TBC ikionyesha.Mimi naona kama serikali ikishika nchi itaendele coz watazuia vitu kuingia tuzalishe kwa fimbo humu humu ndani kuanzia sindano kibatari mpaka gari pumbavu lazima tuendelee tu.
 

Pasco, hivi hujui impact ya kutotolewa fedha za dev budget kwenye budget nzima ya nchi? Hivi hujui kuwa certain dev activities have a direct impact on reccurent exp?
Hivi hujui kuwa safari za rais zinakula fedha ambazo haziko kwenye budget?
Hivi hujui kuwa malipo ya wastaafu yanasuasua?
Hivi hujui kuwa hakuna dawa ktk hospitali zetu?
In short, hali yetu kiuchumi ni mbaya na chafu sana.
 
ni kweli kabisa. wakandarasi wa barabara kwenye maeneo mengi wamesimamisha kazi zao. juzi nimepita barabara ya kutoka kigoma to tabora, itigi to manyoni wakandarasi wameegesha mashine zao na hakuna kinachofanyika. kikwete nchi imekushinda hii
 
Serikali gani unayozungumzia sijui upo nchi gani ambayo unaisemea lakini kwa tanzania yetu hapana.
 
Yote uliyozungumza hapa uongo na upotoshaji wa hali ya juu kabisa.
 
katika watu wabishi wewe mbishi aise....duh inabidi nfanye mpango nkuone ili nku examine....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…