Muda mwingine tumia akili zako kufikiri. Khali ya kifedha serikalini ni mbaya mno. Si majungu ni taarifa za ndani kabisa hazina. Wanafunzi wa mwaka wa pili na kuendelea asilimia kubwa hawajalipwa loan hadi leo.
Faiza foxy sikujuwa kuwa ni kilaza kiasi hiki dah POLE sana
Pole sana.
Muda mwingine tumia akili zako kufikiri. Khali ya kifedha serikalini ni mbaya mno. Si majungu ni taarifa za ndani kabisa hazina. Wanafunzi wa mwaka wa pili na kuendelea asilimia kubwa hawajalipwa loan hadi leo.
Binti kipenzi cha Waarabu, hiki Kiswahili chako kibovu ndiyo matunda ya shule za kata?Uhoi kifedha unaujuwa wewe? muulize Mzee Ali Hassan Mwinyi, au ziwachieni hotuba zake za awali alivyolalamika kwenye hotuba yake ya mikuki miwili, jinsi alivyoachiwa hii nchi na Nyerere.
Senti mbovu ya nje hakuna benki. Mafuta hakuna. Magari hayatembei. Cha kukila hakuna, frame za maduka panya tu na mende wanakimbizana, huko ndiyo ilikuwa kufilisika.
Leo mna neema, mnakwenda kuchaguwa mnunuwe unga gani wa kupika, mchele gani wa kula Krismasi, Beer gani ya kunywa.
Ilipokuwa nchi hii imefilisika wakati wa Nyerere mngeweza hayo?
Wacheni uongo.
"Kama serikali haina hela za kutosha kwa nini wasiagize makampuni ya kutengeneza pesa watuchapie noti za elfu 10, 10 nyingi na kwa haraka ili kuziba fedheha hii........."
Binti kipenzi cha Waarabu, hiki Kiswahili chako kibovu ndiyo matunda ya shule za kata?
Huu uongo wenu hauwasaidii kitu unazidi kuwaumiza roho zenu tu.
Watanzania leo hii tukipewa choice tunataka Kikwete aendelee kutuongoza kwa miaka mingine 10.
Hakuna Rais Tanzania hii wa kabla ya Kikwete aliyeyafanya hata nusu ya mema kwa Tanzania hii kama alivyofanya Kikwete.
Nioneshe ni yupi na lipi au changanya wote kwa pamoja.
Kiswahili wewe hukijuwi.
Tena hao Waarabu ndiyo wenye asilimia zaidi ya 60 kwa sasa kwenye Kiswahili, zamani ilikuwa zaidi ya 70.
Wacheni uongo kuhusu nchi kuwa imefilisika, ingefilisika mngekwenda kula krismassi na bibi na babu zenu? thubutu.
dada vipi mbona umepanic sana tulia dawa ikuingie vizuri serikali ya ccm imefilisika kuanzia kwenye pesa mpaka kiakili
Hiyo hali mbaya ya kifedha wewe imekuathiri nini? ulikosa mchele dukani? ulikosa unga dukani? ulikosa maharage dukani?
Wacha porojo. Ngoja siku ukose vyote hivyo ndiyo uje humu kubwabwaja. Hamjakuwepo wakati hii nchi imefilisika tuulizeni sisi tuliokuwepo wakati wa Nyerere.
Nikuambie kitu dada yangu..kuna masuala ambayo ccm na serikali yake haibebeki..ni mwendawazimu tu anaweza kuwatetea au kuitetetea..kila kitu kiko wazi..nakushauri ukiona thread kama hizi wewe sepa..usi comment ..watu hawatakuelewa na watakushukia kama mvua!utakufa kwa presure..mafisadi wenyewe wanafaidi..lbd na wewe ni moja wao!
Mapenzi uliyo nayo kwa Kikwete ni zaidi hata ya Salma. Au wewe ni nyumba yake ndogo nini?!Kiswahili wewe hukijuwi.
Tena hao Waarabu ndiyo wenye asilimia zaidi ya 60 kwa sasa kwenye Kiswahili, zamani ilikuwa zaidi ya 70.
Wacheni uongo kuhusu nchi kuwa imefilisika, ingefilisika mngekwenda kula krismassi na bibi na babu zenu? thubutu.
nimekosa mshahara wangu mpaka leo sijalipwa.kushindana na kichaa kama wewe yataka moyo
Ilifilisika wakati wa Nyerere. Wakati hatuna hata cha kukila.
Leo mambo swaaafi kabisa, na wala hamumstui mtu humu, Serikali iliyofilisika unaijuwa wewe ulikuwepo wakati wa Nyerere au unausikia tu?
Umekosa mshahara ungekuwepo JF saa hizi? wakati wa kazi huu wewe unaiibia serikali kuingi mtandaoni halafu unaweza kuwa na kauli ya kusema umekosa mshahara? Ni wapi unapofanyia kazi tukuumbuwe uongo wako sasa hivi.
Mapenzi uliyo nayo kwa Kikwete ni zaidi hata ya Salma. Au wewe ni nyumba yake ndogo nini?!