Serikali futeni elimu ya kidato cha tano na sita, haina faida

IKIRIRI

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
2,734
3,017
Dunia ya leo elimu ya kidato cha 4 inatosha kumfanya kijana kusoma chuo.

Nimejaribu kukagua daftari za ndugu yangu yuko kidato cha 5, mambo wanayosoma sioni kama yana tija. Sijaona utofauti wa Mwanafunzi wa kidato cha nne na tano kitaaluma.

Vijana wengi wanapoteza muda sana kusoma kidato cha tano na sita ni vema wasome moja kwa chuo wakimaliza kidato cha nne

Au nyie mliosoma kidato cha tano na sita tuambiane imekusaidia nini? Mfano usingeenda chuo ingekunufaishaje?
 
Dunia ya Leo elimu ya kidato cha4 inatosha kumfanya kijana kusoma chuo.
Nimejaribu kukagua daftari za ndugu yangu yuko kidato cha 5,mambo wanayosoma sioni km yana tija.
Sijaona utofauti wa mwanafunzi wa form4/6 kitaaluma.

Vijana wengi wanapoteza mda sana kusoma f5/6 ni vema wasome direct chuo after form4.
Au nyie mliosoma form5/6 tuambiane imekusaidia nini ? Mfano husingeenda chuo ingekunufaishaje?
Umetoka kuvuta bange unajiona ndalichako njoo na 14 points za self-determination kwanini advance ifutwe
 
Were kama ni h kunani huwezi on a tofauti ya a level na o level
 
Dunia ya Leo elimu ya kidato cha4 inatosha kumfanya kijana kusoma chuo.
Nimejaribu kukagua daftari za ndugu yangu yuko kidato cha 5,mambo wanayosoma sioni km yana tija.
Sijaona utofauti wa mwanafunzi wa form4/6 kitaaluma.

Vijana wengi wanapoteza mda sana kusoma f5/6 ni vema wasome direct chuo after form4.
Au nyie mliosoma form5/6 tuambiane imekusaidia nini ? Mfano husingeenda chuo ingekunufaishaje?
Unachosema ina maana topiki zilizopo O-LEVEL zinajirudia A-LEVEL?
 
Ni kweli kabisaaa hata concept nyingi za engineering ni knowledge ya O-level, so tunawezakuboresha kidogo Kwa advance iwe wanafunzi waanze kupata really skills na si kurudia Yale Yale ama kusoma makitu ya watu wa maresearch hukoo
 
Kama umesoma HKL sijui HGL A level haina maana kwako ulikuwa unapoteza mudaa tuu na ifutwe.. Ila kama Umesoma PCM..PCB mzee baba Bila A level speed na vitu wanayofundisha malecture chuo tungeishia kupata Zero....
Acha urongo wapo ambao hawajapita huko na wamefaulu
 
We mtoa mada una matatizo binasi
Usifananishe Adv level(PCM,PCB,PGM etc)
Na vitu vya hovyo
Usimbeze
Je mtu akiishia A level ananufaikaje na hiyo elimu aliyopata
Kitu kikubwa ambacho wadau hawajakijua kwako wewe hupendi shule na hata hizo levo ambazo unaziona za kipuuzi unazisikia kwenye bomba tu.

Mzee wa madrasa wewe
Umetoka kuvuta bange unajiona ndalichako njoo na 14 points za self-determination kwanini advance ifutwe
Physics ya A level ufananishe na What is archimedes principle..???? Huyu jamaa anaumwa aisee A level ya muhimu sanaa

Back
Top Bottom