Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,050
- 12,968
Watu wamekariri mavitabu yao na kutaka kulazimisha kila mtu aabudu miungu ya kwenye vitabu vyao.Kama unamkataa Zumaridi kuwa sio Mungu.
Basi najua unamjua Mungu halisi.
Achana na vitabu, wewe kwa akili yako unamjua Mungu ?
Kama unamjua tutajie hapa, kama humjui basi Zumaridi kajitambulisha kuwa ndie mungu.
Wewe huna mamlaka ya kumkataa unless otherwise unamjua Mungu halisi.
Wanakwmabia Zumaridi kichaa, ukuchaa wake ni upi hawasemi.
Mungu kwenye biblia aliruhusu rutu ato.mbe watoto wake na kuwazalisha, akaruhusu wana wa Israel wakivamia mji, wateke wanawake wazuri na kwenda kuwato.mba na kuua wanaume zao. Huyo na zumaridi nani kichaa?
Kwenye quran ndio balaa, mungu wa huko anaruhusu watu kubaka watoto, kubaka wanawake, kupiga wanawake, kuua watu hovyo, huyu ndio kichaa balaa.
Zumaridi ni Mungu.