msisingizie dini zilizokuja na majahazi, siku hizi watu wana dini zao wenyewe, ndio hawa akina zumaridi na wengine wanaojiita mungu, wengine wanajiita yesu, malaika, makerubi, maserafi, mitume na manabii, usishangae wengine tayari wameanza kujiita shetani, lusifa na ibilisi. Ukiwafikisha mahakamani wanashinda kesi na kurudi mitaani kuendelea na abrakadabra zaoHizi dini zilizo kuja.na.mashua zinatusumbua sana, hivi nani anaweza enda Mahakamani na aka prove kwamna Zumaraei sio Mungu bali Mungu ni fulani
Hao ni Watoto wa wajinga
Zumaridi huenda ana watu wanaomlinda serikalini kwa maana haiwezekani amefikia hatua ya kuwakusanya watoto na anawapumbaza mchana kweupe na Mamlaka inamchekea tu.
Zumaridi huenda ana watu wanaomlinda serikalini kwa maana haiwezekani amefikia hatua ya kuwakusanya watoto na anawapumbaza mchana kweupe na Mamlaka inamchekea tu.
Na hili ndio ukweli wenyewe wanatengenezwa kuhamisha watu mawazo na fikra kwenye mijadala ya msingi ya mustakabali wa Taifa lao,,,Hawa ndio kama wakina Babu wa loliondo tuu!!na wanawatengeneza Sana viongozi wa dini kwa kuwa matumaini ya watz wengi yapo kwa utegemezi wa miujiza kuliko kufikiri kwa kina kwa maono,,kimitazamo na utendaji ulio Bora,,bado dini zimewafanya kuwa wajinga na baadhi wamekuwa wapumbavu na serikali inatambua kwa kina wajinga na wapumbavu wengi ndio maana wanacheza na triki kama hizo!!"Nje ya Mada""sema Hilo lishangazi lizumaridi ni linzuri mnoo!!INAWEZEKANA AKAWA TISS HUYO, KUPOTEZA WATU MABOYA KUKIWA NA JAMBO MUHIMU LA UPIGAJI
Wale Atheists wanaosema Mungu hayupo sasa nadhani ni wakati wao wa kumwona mungu live kabisa, mungu Zumaridi.
C.c Kiranga,
Omba kuongea na mungu Zumaridi nadhani atakutajia sifa zake.Haswa!!
Lakini tunahitaji kujua mungu huyu zumaridi ana sifa zipi ambazo haziji contradict na uwepo wake.
Je mungu zumaridi hafi kama anavyodai kuwaambia watoto?
Je mungu zumaridi anafahamu mawazo ya watu wote duniani kwa wakati mmoja?
Je mungu zumaridi ana sifa zipi tofauti na wanadamu labda hali au aendi chooni, au anaweza kukaa kwake mbezi akasalimiana na biden marekani?
Omba kuongea na mungu Zumaridi nadhani atakutajia sifa zake.
Hizo sifa ulizoziandika umezitoa wapi, kwamba lazima zihusiane na Mungu Mwenyezi ?
mungu ndio ushamwona kwa macho yako, nenda kaongea naye sasa.[emoji1][emoji1]
Kama unamkataa Zumaridi kuwa sio Mungu.Kwanza huenda ukawa huelewi atheism wanacho claim tafuta post ya mtu yoyote anayesema tunapinga uwepo wa mungu sababu hatumuoni kwa macho. Ukiona ilete.
Nishamuona mungu beyonce sifa zake na haziji contradict na uwepo wake.
Mungu zumaridi kaongea yeye ni mungu pasi na kutupa vigezo kwanini yeye anajiita mungu.
Mungu wa vitabu vya dini ni mungu wakutungwa sababu sifa zake zinajicontadict zenyewe.
Elewa atheism ni nini na wanapinga nini