Serikali-Bima ya Afya kwa wote inawezekana kwa kila mwananchi kutoa shilingi 5,000 kwa mwaka

Mwaka kesho mabeberu wanakataa msaada kwenye AFYA,

Mnawaza jinsi Gani matibabu yataendeshwa, hatimaye tutapata namna ya kulitoa DUDE liitwalo CCM.
Kwa nini wakate wakati Basket fund wamerudi mwaka huu baada ya kumkimbia Jiwe..
 
The Sunk Cost Fallacy
Wazo lako zuri, lakini hebu Cross check hizo hesabu zako hapo...

Trillion tatu haiwezi kupatikana kutoka katika watu elfu 60 wanaochanga elfu 5 kila mmoja kwa mwaka.
60,000 * 5,000 = 300,000,000 (M 300)

Ili kupata Trillion 3 kwa mwaka kwa michango ya shilingi 5,000 unahitaji watu milioni mia sita.
Nadhani alimaanisha 5000 mara watu milioni 60, ambayo inaandikwa 60,000,000 of which itakuja Billion 300 ambayo haijafikia hata nusu ya trillion moja.

So again mleta mada itabidi akafanye hesabu upya.
 
Sasa mkuu umeanza kuipanda kichwani Mathematics.

60,000,000 * 5,000 = 300,000,000,000/=
Kwa mujibu wa Hisabati jibu hilo ni sahihi na linasomeka kama BILIONI MIATATU.

Ili upate Trilioni tatu yaani 3,000,000,000,000 unapaswa kuzidisha 600,000,000 * 5,000 au pengine 60,000,000 * 50,000.

Sijui kwanini tunafanya argument kwenye hili, sijui kwa kweli.
Msamehe ndugu. Sometimes macho yanakuwa hayaoni vizuri mtu anapatwa na hali inaitwa mhemuko.
 
Kuchanga sio tatizo bali watu waaminifu wa kuhakikisha huzo Pesa zinatumika kwenye lengo husika. Sio pesa zinaingia kisha rais na genge lake wanaamua kuchota hiyo pesa na kuingiza kwenye miradi ya kusaka political millage, na fedha hizo kubatizwa ni fedha za rais na upuuzi mwingine kama huo. Mfano mifuko ya fedha za mafao ya wafanyakazi, hizo zimechotwa na kuingizwa kwenye miradi ya kusaka sifa za kisiasa, matokeo yake walengwa wanaishia kusotea mafao yao. Una wazo zuri lakini utapeli ni mwingi huko serikalini. Hivyo hakuna mtu kutoa pesa zake kwa majizi ya kura.
Ndio maana tunahitaji katiba mpya ambayo itaweza kuaddress issue ya mgawanyiko wa kitaasisi na kusiwe na muingiliano wa kimasilahi kati ya wanataasisi na mamlaka husika.
 
MAREKANI kukata msaada wa afya WHO itafanikisha mission ya "Rais ambaye hajawahi kugombea ilitokea Marekani itatokea na huku"!

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
 
Back
Top Bottom