Serikali-Bima ya Afya kwa wote inawezekana kwa kila mwananchi kutoa shilingi 5,000 kwa mwaka

Moja kwa moja kwenye mada.

Kila mtu ni mhanga wa ughali wa gharama za matibabu,tumeshuhudia jamii zikipata mgonjwa wa mda mrefu zinavyofirisika kwa kuuza kila mali yao Ili kugharamia matibabu ya mgonjwa na pengine asipone.

Kwa muktadha huo,wananchi wako tayari kuchangia walau sh.4,000-5,000 kwa kichwa kwa kila mwaka Ili kupata pesa za kuwa na bima.

Kwa kuwa wananchi wako tayari kulipa Serikali iandae sheria ya bima ya Afya kwa wote yaani universal healthcare act na Mfuko wa bima ya Afya ndio uratibu moja kwa moja jambo hili.

Ikiwa kila mwananchi au kichwa kitatoa sh.4,000 kwa mwaka kwa watu 60,000 serikali itapata wastani wa Trilioni 3 Kwa mwaka pesa ambazo ni mara mbili ya bajeti ya Wizara ya Afya.

5,000*60,000,000=3.E11.

Ikiwa watu walilipishwa sh.20,000 kwa kununua vile viliitwa vitambulisho vya ujasiliamali na pesa ikapatikana ni dhahiri kwa wazo kama hili wananchi wataliunga mkono maana kila mtu atalipa kwa idadi ya watoto alionao.

Kila una watoto 6 utalipia hivyo hivyo,kama wako 10 utalipia watoto kumi.Lakini makundi maalumu kama walemavu, watoto wa mitaani,wazee na watu wengine maskini Sana watalipiwa na Serikali kuu na makundi mengine kama vile wafanyakazi ambao hukatwa kwenye mishahara yao kila mwezi ambao wao wataendelea kukatwa kila mwezi ila viwango vitashushwa kutoka 3% to 1% .

Aidha pesa ziwe ni mahsusi kwa ajili ya dawa,vitenganishi na vifaa tiba vya kisasa wakati huo huo bajeti ya Wizara ya kawaida itaendelea kuwepo kama kawaida Ili kuzalisha wataalamu,maslahi Bora kwa watumishi,utawala na kugharamia ujenzi wa miundombinu mipya.

Utaratibu huu ukianzishwa hatutegemei tena kusikia eti ugonjwa fulani ni gharama sana na hivyo watu wachangie.Kila ugonjwa utakuwa ndani ya bima.Kama Til.1.5 ya covid imejenga madarasa 15,000 nchi nzima,imejenga majengo ya emergency,imejenga masoko ya machinga,imeleta maji,imenunua ambulance,x-rays,MRI nk ni wazi zikipatikana japo til.2.5 zitaleta mapinduzi kwenye sekta ya Afya Nchini.

Ni vyema serikali iamue sasa kuleta mjadala huu kwa umma na iweke utaratibu mzuri wa kulipa hizo pesa kwa njia ya mitandao ya simu na Benki Ili tuanze rasmi kuwa na bima ya Afya kwa wote.

Kiukweli gharama za matibabu zinaumiza na zinafukarisha Sana,tunaomba serikali ichukue hili wazo kwa sababu halihitaji pesa ya serikali bali pesa itatoka kwa sisi wananchi moja kwa moja.
Dar es Salaam. Chama cha Wananchi (CUF) kimemteua Hamad Masoud Hamad kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, akichukua nafasi iliyokuwa inashikiliwa na Haroub Mohamed Shamis.

Masoud ameteuliwa kushika wadhifa huo, akitokea Chama cha ACT Wazalendo alikokuwa akilalamika kuchezewa rafu katika uchaguzi aliogombea nafasi ya Mwenyekiti, ambapo Juma Haji Duni ndiye aliyechaguliwa kushika nafasi hiyo.

Baraza hilo pia limewateua Kona Vuai Haji na Juma Shaaban Nkumbi kuwa wajumbe wa baraza kuu huku nafasi nyingine zilizo wazi zikipangwa kujazwa katika kikao kijacho cha baraza kuu.

Kauli hiyo imetolewa leo Machi 28 jijini hapa na Mwenyekiti wa chama hicho Profesa Ibrahim Lipumba wakati wa kutangaza maazimio ya ajenda 14 zilizotokana na mkutano wa baraza hilo, ikiwamo mabadiliko ya uongozi, hali ya ngumu ya maisha, vita vya Urusi na Ukraine na hali ya kisiasa.

“Baraza Kuu limemshukuru Haroub Mohamed Shamis kwa kazi kubwa aliyofanya kama Katibu Mkuu katika kipindi kigumu baada ya kifo cha aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama, hayati Khalifa Suleiman Khalifa na kukiwezesha chama hicho kushiriki kikamilifu katika uchaguzi Mkuu wa 2020,” amesema Lipumba.

Azimio lingine la baraza hilo ni pampoja na kuweka kando masharti ya Ibara ya 116 kifungu kidogo cha 6 yaliyopo kwenye Katiba ya chama hicho ya mwaka 1992 Toleo la 2019, yanayozuia mwanachama mpya kugombea nafasi ya uongozi hadi atakapokuwa ametimiza miezi sita.

Baraza hilo pia limeondoa kikwazo hicho ili kuhakikisha wanachama wanaorejea ndani ya chama hicho kushiriki katika ujenzi wa chama hicho huku likitangaza kuanza kwa uchaguzi wa ndani kati ya Mei 14 mwaka huu hadi Oktoba 2023.
 
Nina swali mkuuu kwa mfano mie nipo huku ukerewe nikikata bima huku mf ya 50400 je nikisema nimehama mie na familia yangu kwenda SONGEA NAMTUMBO JE nitatumia kma kawaida au mpka ndio itakuwa ime kwisha nikajiunge tena songea mkuuu cjui naomba kujuzwa bro
Hiyo bima ya mtoto utatumia popote
 
Moja kwa moja kwenye mada.

Kila mtu ni mhanga wa ughali wa gharama za matibabu,tumeshuhudia jamii zikipata mgonjwa wa mda mrefu zinavyofirisika kwa kuuza kila mali yao Ili kugharamia matibabu ya mgonjwa na pengine asipone.

Kwa muktadha huo,wananchi wako tayari kuchangia walau sh.4,000-5,000 kwa kichwa kwa kila mwaka Ili kupata pesa za kuwa na bima.

Kwa kuwa wananchi wako tayari kulipa Serikali iandae sheria ya bima ya Afya kwa wote yaani universal healthcare act na Mfuko wa bima ya Afya ndio uratibu moja kwa moja jambo hili.

Ikiwa kila mwananchi au kichwa kitatoa sh.4,000 kwa mwaka kwa watu 60,000 serikali itapata wastani wa Trilioni 3 Kwa mwaka pesa ambazo ni mara mbili ya bajeti ya Wizara ya Afya.

5,000*60,000,000=3.E11.

Ikiwa watu walilipishwa sh.20,000 kwa kununua vile viliitwa vitambulisho vya ujasiliamali na pesa ikapatikana ni dhahiri kwa wazo kama hili wananchi wataliunga mkono maana kila mtu atalipa kwa idadi ya watoto alionao.

Kila una watoto 6 utalipia hivyo hivyo,kama wako 10 utalipia watoto kumi.Lakini makundi maalumu kama walemavu, watoto wa mitaani,wazee na watu wengine maskini Sana watalipiwa na Serikali kuu na makundi mengine kama vile wafanyakazi ambao hukatwa kwenye mishahara yao kila mwezi ambao wao wataendelea kukatwa kila mwezi ila viwango vitashushwa kutoka 3% to 1% .

Aidha pesa ziwe ni mahsusi kwa ajili ya dawa,vitenganishi na vifaa tiba vya kisasa wakati huo huo bajeti ya Wizara ya kawaida itaendelea kuwepo kama kawaida Ili kuzalisha wataalamu,maslahi Bora kwa watumishi,utawala na kugharamia ujenzi wa miundombinu mipya.

Utaratibu huu ukianzishwa hatutegemei tena kusikia eti ugonjwa fulani ni gharama sana na hivyo watu wachangie.Kila ugonjwa utakuwa ndani ya bima.Kama Til.1.5 ya covid imejenga madarasa 15,000 nchi nzima,imejenga majengo ya emergency,imejenga masoko ya machinga,imeleta maji,imenunua ambulance,x-rays,MRI nk ni wazi zikipatikana japo til.2.5 zitaleta mapinduzi kwenye sekta ya Afya Nchini.

Ni vyema serikali iamue sasa kuleta mjadala huu kwa umma na iweke utaratibu mzuri wa kulipa hizo pesa kwa njia ya mitandao ya simu na Benki Ili tuanze rasmi kuwa na bima ya Afya kwa wote.

Kiukweli gharama za matibabu zinaumiza na zinafukarisha Sana,tunaomba serikali ichukue hili wazo kwa sababu halihitaji pesa ya serikali bali pesa itatoka kwa sisi wananchi moja kwa moja.
Bashite mkubwa wewe
 
Dar es Salaam. Chama cha Wananchi (CUF) kimemteua Hamad Masoud Hamad kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, akichukua nafasi iliyokuwa inashikiliwa na Haroub Mohamed Shamis.

Masoud ameteuliwa kushika wadhifa huo, akitokea Chama cha ACT Wazalendo alikokuwa akilalamika kuchezewa rafu katika uchaguzi aliogombea nafasi ya Mwenyekiti, ambapo Juma Haji Duni ndiye aliyechaguliwa kushika nafasi hiyo.

Baraza hilo pia limewateua Kona Vuai Haji na Juma Shaaban Nkumbi kuwa wajumbe wa baraza kuu huku nafasi nyingine zilizo wazi zikipangwa kujazwa katika kikao kijacho cha baraza kuu.

Kauli hiyo imetolewa leo Machi 28 jijini hapa na Mwenyekiti wa chama hicho Profesa Ibrahim Lipumba wakati wa kutangaza maazimio ya ajenda 14 zilizotokana na mkutano wa baraza hilo, ikiwamo mabadiliko ya uongozi, hali ya ngumu ya maisha, vita vya Urusi na Ukraine na hali ya kisiasa.

“Baraza Kuu limemshukuru Haroub Mohamed Shamis kwa kazi kubwa aliyofanya kama Katibu Mkuu katika kipindi kigumu baada ya kifo cha aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama, hayati Khalifa Suleiman Khalifa na kukiwezesha chama hicho kushiriki kikamilifu katika uchaguzi Mkuu wa 2020,” amesema Lipumba.

Azimio lingine la baraza hilo ni pampoja na kuweka kando masharti ya Ibara ya 116 kifungu kidogo cha 6 yaliyopo kwenye Katiba ya chama hicho ya mwaka 1992 Toleo la 2019, yanayozuia mwanachama mpya kugombea nafasi ya uongozi hadi atakapokuwa ametimiza miezi sita.

Baraza hilo pia limeondoa kikwazo hicho ili kuhakikisha wanachama wanaorejea ndani ya chama hicho kushiriki katika ujenzi wa chama hicho huku likitangaza kuanza kwa uchaguzi wa ndani kati ya Mei 14 mwaka huu hadi Oktoba 2023.
Lipumba hataki kusahaulika hata kidogo
 
Kuna Nchi zimeweza sio vibaya kwenda kujifunza kwao👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220727-143328.png
    Screenshot_20220727-143328.png
    31.8 KB · Views: 4
5000 kwa mwaka? Kuwa serious mkuu, mambo hayapo mepesi kiivo. hata ikiwa ni mara 2 ya budget ya sasa lakini bado haitaweza kumaliza matatizo yetu kwenye suala la Afya. Lazima patafutwe suluhisho la kudumu hata kama process yake itachukua hata 10 years.
 
Kwa mujibu wa Utafiti,73% wako tayari kulipa Bima ya Afya.Ni wakati sasa wa Serikali kuchukua hatua za utekelezaji.

View attachment 2230591

View attachment 2230592
Serikali chini ya CCM hawana Nia njema Kwa watz, jambo lolote wasemalo ni la kutilia MASHAKA.

Isijekuwa ni chanzo kipya Cha mapato kimebuniwa baadae wakapigwa.

Waje wengine tutaowaamini watimize jambo hili, suala la mishahara na ONGEZEKO lake liliondoa tone la mwisho kuiamini CCM.
 
5000 kwa mwaka? Kuwa serious mkuu, mambo hayapo mepesi kiivo. hata ikiwa ni mara 2 ya budget ya sasa lakini bado haitaweza kumaliza matatizo yetu kwenye suala la Afya. Lazima patafutwe suluhisho la kudumu hata kama process yake itachukua hata 10 years.
Inawezekana mkuu yaani buku 5,000 kwa kila kichwa chenye miaka 18 and above kwa kayak,hapo kuna pesa za kuzidi ambazo ni zaidi ya Bajeti ya Wizara kwa mwaka..

Sasa pesa hii ikielekezwa kwenye madawa,vitenganishi na vifaa tiba itashindikana vipi?.

Japo naweza pendekeza serikali Itumie mapato ya Bomba la mafuta la Uganda kupata pesa za kugharamia bima ya Afya kwa wote huku tukiendelea kuchangia kwa mtindo naopendekeza.
 
Serikali chini ya CCM hawana Nia njema Kwa watz, jambo lolote wasemalo ni la kutulia MASHAKA.

Isijekuwa ni chanzo kipya Cha mapato kimebuniwa baadae wakapigwa.

Waje wengine tutaowaamini watimize jambo hili, suala la mishahara na ONGEZEKO lake liliondoa tone la mwisho kuiamini CCM.
Kwani wewe unataka huduma za bite? Hizo hazipo ,kama kikiwa chanzo na huduma zikapatikana kuna tatizo?
 
Moja kwa moja kwenye mada.

Kila mtu ni mhanga wa ughali wa gharama za matibabu,tumeshuhudia jamii zikipata mgonjwa wa mda mrefu zinavyofirisika kwa kuuza kila mali yao Ili kugharamia matibabu ya mgonjwa na pengine asipone.

Kwa muktadha huo,wananchi wako tayari kuchangia walau sh.4,000-5,000 kwa kichwa kwa kila mwaka Ili kupata pesa za kuwa na bima.

Kwa kuwa wananchi wako tayari kulipa Serikali iandae sheria ya bima ya Afya kwa wote yaani universal healthcare act na Mfuko wa bima ya Afya ndio uratibu moja kwa moja jambo hili.

Ikiwa kila mwananchi au kichwa kitatoa sh.4,000 kwa mwaka kwa watu 60,000 serikali itapata wastani wa Trilioni 3 Kwa mwaka pesa ambazo ni mara mbili ya bajeti ya Wizara ya Afya.

5,000*60,000,000=3.E11.

Ikiwa watu walilipishwa sh.20,000 kwa kununua vile viliitwa vitambulisho vya ujasiliamali na pesa ikapatikana ni dhahiri kwa wazo kama hili wananchi wataliunga mkono maana kila mtu atalipa kwa idadi ya watoto alionao.

Kila una watoto 6 utalipia hivyo hivyo,kama wako 10 utalipia watoto kumi.Lakini makundi maalumu kama walemavu, watoto wa mitaani,wazee na watu wengine maskini Sana watalipiwa na Serikali kuu na makundi mengine kama vile wafanyakazi ambao hukatwa kwenye mishahara yao kila mwezi ambao wao wataendelea kukatwa kila mwezi ila viwango vitashushwa kutoka 3% to 1% .

Aidha pesa ziwe ni mahsusi kwa ajili ya dawa,vitenganishi na vifaa tiba vya kisasa wakati huo huo bajeti ya Wizara ya kawaida itaendelea kuwepo kama kawaida Ili kuzalisha wataalamu,maslahi Bora kwa watumishi,utawala na kugharamia ujenzi wa miundombinu mipya.

Utaratibu huu ukianzishwa hatutegemei tena kusikia eti ugonjwa fulani ni gharama sana na hivyo watu wachangie.Kila ugonjwa utakuwa ndani ya bima.Kama Til.1.5 ya covid imejenga madarasa 15,000 nchi nzima,imejenga majengo ya emergency,imejenga masoko ya machinga,imeleta maji,imenunua ambulance,x-rays,MRI nk ni wazi zikipatikana japo til.2.5 zitaleta mapinduzi kwenye sekta ya Afya Nchini.

Ni vyema serikali iamue sasa kuleta mjadala huu kwa umma na iweke utaratibu mzuri wa kulipa hizo pesa kwa njia ya mitandao ya simu na Benki Ili tuanze rasmi kuwa na bima ya Afya kwa wote.

Kiukweli gharama za matibabu zinaumiza na zinafukarisha Sana,tunaomba serikali ichukue hili wazo kwa sababu halihitaji pesa ya serikali bali pesa itatoka kwa sisi wananchi moja kwa moja.

Kwa mujibu wa Utafiti,73% wako tayari kulipa Bima ya Afya.Ni wakati sasa wa Serikali kuchukua hatua za utekelezaji.

View attachment 2230591

View attachment 2230592
Ningeshangaa mchumi wa waramba asali akajua hesabu za matrilioni.

Sh 5000* watu 60 ml =300Bl na Si Trilioni 3.

Umenikumbusha yule waziri wa mambo ya nje aliesoma namba Hadi akajiuma mdomo.
 
Rudi shule, mchumi usiyejua 5,000* watu 60 ml ni 300 bn na Si Trilioni tatu.

Wasomi wapo mtaani, Ofisini wahuni ndo wamekaa,Vyeti feki.
 
Mwaka kesho mabeberu wanakataa msaada kwenye AFYA,

Mnawaza jinsi Gani matibabu yataendeshwa, hatimaye tutapata namna ya kulitoa DUDE liitwalo CCM.
 
Tunataka mjadala wa KATIBA mpya Si mjadala wa Bima ya AFYA.
 
Ni mawazo mazuri sana na huduma za afya zitakuwa ni kama bure, sema tatizo la nchi yetu ni upigaji... yaan iyo bima ya sasa yenyewe kila siku mabadiliko ya utaratibu, vituo vina huduma ya bima ila dawa hakuna, mala dawa fulani zisitolewe kwa mgonjwa wa aina fulani... yaan bima ndo wamegeuka guidelines ya kuwalazimisha madaktari watoe huduma fulani kwa mgonjwa hata kama daktari anaona haitamsaidia... eti wanasave hela
 
Dar es Salaam. Chama cha Wananchi (CUF) kimemteua Hamad Masoud Hamad kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, akichukua nafasi iliyokuwa inashikiliwa na Haroub Mohamed Shamis.

Masoud ameteuliwa kushika wadhifa huo, akitokea Chama cha ACT Wazalendo alikokuwa akilalamika kuchezewa rafu katika uchaguzi aliogombea nafasi ya Mwenyekiti, ambapo Juma Haji Duni ndiye aliyechaguliwa kushika nafasi hiyo.

Baraza hilo pia limewateua Kona Vuai Haji na Juma Shaaban Nkumbi kuwa wajumbe wa baraza kuu huku nafasi nyingine zilizo wazi zikipangwa kujazwa katika kikao kijacho cha baraza kuu.

Kauli hiyo imetolewa leo Machi 28 jijini hapa na Mwenyekiti wa chama hicho Profesa Ibrahim Lipumba wakati wa kutangaza maazimio ya ajenda 14 zilizotokana na mkutano wa baraza hilo, ikiwamo mabadiliko ya uongozi, hali ya ngumu ya maisha, vita vya Urusi na Ukraine na hali ya kisiasa.

“Baraza Kuu limemshukuru Haroub Mohamed Shamis kwa kazi kubwa aliyofanya kama Katibu Mkuu katika kipindi kigumu baada ya kifo cha aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama, hayati Khalifa Suleiman Khalifa na kukiwezesha chama hicho kushiriki kikamilifu katika uchaguzi Mkuu wa 2020,” amesema Lipumba.

Azimio lingine la baraza hilo ni pampoja na kuweka kando masharti ya Ibara ya 116 kifungu kidogo cha 6 yaliyopo kwenye Katiba ya chama hicho ya mwaka 1992 Toleo la 2019, yanayozuia mwanachama mpya kugombea nafasi ya uongozi hadi atakapokuwa ametimiza miezi sita.

Baraza hilo pia limeondoa kikwazo hicho ili kuhakikisha wanachama wanaorejea ndani ya chama hicho kushiriki katika ujenzi wa chama hicho huku likitangaza kuanza kwa uchaguzi wa ndani kati ya Mei 14 mwaka huu hadi Oktoba 2023.
Ili ipatikane 3 Trilioni Kwa watu mil 60, inahitajika watu mil 60 wachangie 50,000 Kwa Kila KICHWA.

Vijijini Kuna watu Wana watoto zaidi ya kumi, atawezaje kulipa bima ya 500,000 Kwa mwaka?

Mawazo ya CCM kuwawazia MEMA Watanzania hayapo tena, ni wizi tu.

Mjadala wa KATIBA mpya uanze haraka. Ameeeen
 
Back
Top Bottom