Ni dhahiri hawa jamaa mmewashika pabaya. Lakini hili deni ni kubwa sana na watakuja na kila mbinu ili wapunguziwe.
Nawashauri muwakomalie na kwamba kama hawawezi kulilipa deni lote basi sehemu yake inunue hisa za huo mgodi.
Tulikwishapoteza hisa zetu za 15% hapo nyuma. Ni wakati muafaka sasa kuzirudisha maradufu kwa kutumia sehemu ya hili deni.
Uwezekano wa kubadilisha mkataba wa sasa pengine ni mgumu kidogo. Ikiwezekana sawa, la sivyo hii ndio nafasi yetu ya kujenga hisa za hii migodi kwa kutumia hili deni.
Hawa wazungu wataielewa tu hiyo kitu (Equity Financing of Debt).