Serikali badilisheni sehemu ya deni la ACACIA kuwa hisa

Hivi deni ambalo wanadaiwa na wamekubali kulipa ni deni gani?ni fedha ambazo zimebainika kuwa ziliibiwa kutokana na mikataba mibovu ambayo ilipitishwa na watuhumiwa wetu?au katika pesa hizohizo chache walizotakiwa kulipa Kuna sehemu hawajalipa?.
Tume ya pili imeainisha deni wanalopaswa kulipa ACACIA. Lakini bado hatujakubaliana na ACACIA kama watalipa.

Deni lenyewe linatokana na udanganyifu waliotufanyia. Deni hili linajumuisha:

1.
4% ya kiasi walichotudanganya kimo ndani ya makinikia kuanzia 1998. Hapa wanaweza kupata punguzo wakidai kuwa haya ni makadirio tu na hakuna uthibitisho kuwa huo mchanga wa zamani ulikuwa na kiasi sawa na ule ulioko bandarini sasa hivi.

2.
Kodi ya mapato ya madini ambayo walidatudanganya wamepata, kama ilivyo kifungu cha 1.

3.
Makontena waliyosema wamesafirisha tangu 1998 ni kidogo kuliko ukweli kufuatilia takwimu za wenye meli waliosafirisha haya makontena. Hapa wanapaswa kulipa mrabaha, kodi ya TRA, na faini ya wizi tokea 1998.

Kifungu cha 1 na cha 2 tunaweza kujadiliana nao na wakapata unafuu.

Lakini hiki cha 3, eeeeh ndugu yangu - huu ni wizi na hawawezi kuchoropoka hapa.

Sijui kama nimekujibu swali lako.
 
Hivi deni ambalo wanadaiwa na wamekubali kulipa ni deni gani?ni fedha ambazo zimebainika kuwa ziliibiwa kutokana na mikataba mibovu ambayo ilipitishwa na watuhumiwa wetu?au katika pesa hizohizo chache walizotakiwa kulipa Kuna sehemu hawajalipa?.
Tume ya pili imeainisha deni wanalopaswa kulipa ACACIA. Lakini bado hatujakubaliana na ACACIA KAMA WATALIPA.

Deni lenyewe linatokana na udanganyifu waliotufanyia. Deni hili linajumuisha:

1.
4% ya kiasi walichotudanganya kimo ndani ya makinikia kuanzia 1998. Hapa wanaweza kupata punguzo wakidai kuwa haya ni makadirio tu na hakuna uthibitisho kuwa huo mchanga wa zamani ulikuwa na kiasi sawa na ule ulioko bandarini sasa hivi.

2.
Kodi ya mapato ya madini ambayo walidatudanganya wamepata, kama ilivyo kifungu cha 1.

3.
Makontena waliyosema wamesafirisha tangu 1998 ni kidogo kuliko ukweli kufuatilia takwimu za wenye meli waliosafirisha haya makontena. Hapa wanapaswa kulipa mrabaha, kodi ya TRA, na faini ya wizi tokea 1998.

Kifungu cha 1 na cha 2 tunaweza kujadiliana nao na wakapata unafuu.

Lakini hiki cha 3, eeeeh ndugu yangu - huu ni wizi na hawawezi kuchoropoka hapa.

Sijui kama nimekujibu swali lako.
 
Bandari hii hii ambayo ambayo tunaambiwa magari kwa maelfu yali vanish?
Ongeza umakini angalau kidogo mkuu!!!
Kwa hiyo unavyoona wewe tupotezee tu. Hakuna haja ya kuwadai, hawa ni wazungu bwana, eeh!

Dunia simama jamani nishuke.
 
Hata ukidharau matokeo ya tume ya kwaza na karibuni yote ya tume ya pili, ni wazi kabisa (tume ya pili) ACACIA walidanganya wanasafirisha makontena mangapi.

Miaka nenda miaka rudi wanatuambia wanasafirisha makontena fulani lakini rekodi za melini zinaonyesha kitu kingine. Hili ni kosa la jinai (wizi). Watu wanakwenda jela kwa kosa kama hili.

Unafikiri kwa nini wanakuwa wanyenyekevu kiasi hiki.
inawezekana walikuwa wakiiba kweli kama watashindwa kuexplain hayo macontainer excess.

Hivi yale ya watu binafsi nayo hayakuingia humo?,
wale wachimbaji wadogo wadogo waliokuwa nao wanasafirisha mchanga?
 
Swali zuri mkuu. Sijui kama haya makontena ya ziada yanawahusu wachimbaji wadogo wadogo.
 
Tume ya pili imeainisha deni wanalopaswa kulipa ACACIA. Lakini bado hatujakubaliana na ACACIA KAMA WATALIPA.

Deni lenyewe linatokana na udanganyifu waliotufanyia. Deni hili linajumuisha:

1.
4% ya kiasi walichotudanganya kimo ndani ya makinikia kuanzia 1998. Hapa wanaweza kupata punguzo wakidai kuwa haya ni makadirio tu na hakuna uthibitisho kuwa huo mchanga wa zamani ulikuwa na kiasi sawa na ule ulioko bandarini sasa hivi.

2.
Kodi ya mapato ya madini ambayo walidatudanganya wamepata, kama ilivyo kifungu cha 1.

3.
Makontena waliyosema wamesafirisha tangu 1998 ni kidogo kuliko ukweli kufuatilia takwimu za wenye meli waliosafirisha haya makontena. Hapa wanapaswa kulipa mrabaha, kodi ya TRA, na faini ya wizi tokea 1998.

Kifungu cha 1 na cha 2 tunaweza kujadiliana nao na wakapata unafuu.

Lakini hiki cha 3, eeeeh ndugu yangu - huu ni wizi na hawawezi kuchoropoka hapa.

Sijui kama nimekujibu swali lako.
Nimeelewa.
 
Hivi lile contena la pembe za ndovu lililokamatwa china sinyaraka zilionyesha ni makinikia, au?
 
Kwa hiyo unavyoona wewe tupotezee tu. Hakuna haja ya kuwadai, hawa ni wazungu bwana, eeh!

Dunia simama jamani nishuke.
Usikate tamaa namna hiyo!
Lakini usijiamini ukiutegemea ushahidi wa bandari.
 
Nani amekudanganya kuna deni. Subiri timu ya wataalam toka pande zote wakutane ndo ukweli utakdhihirika
 
Back
Top Bottom