Serikali baada ya kukusanya kodi hatuambiwi zinaenda wapi

jamaikatz

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2023
Posts
369
Reaction score
1,252
Serikali baada ya kukusanya kodi zetu haitoi ufafanuzi sahihi mfano huu mwaka serikali imekusanya takriban trilioni 8.7 za kitanzania Lakini hatuambiwi mgawanyiko wa hizi fedha maana ni fedha zetu wananchi.
 
INA MAANA HAUJUI KAZI YA KODI

ANYWAY

TAZAMA MIONDOMBINU INAYOJENGWA KILA KUKICHA

TAZAMA AJIRA ZA KUMWAGA

TAZAMA SHULE ZA KISASA ZINAZOJENGWA .

TAZAMA HOSPTALI ZA KISASA

HUDUMA ZA KIJAMII KAMA UMEME ,MAJI N.K

THE LIST IS ENDLESS

KAZI ANAYOFANYA MAMA WA AFRICA NI YA KI-MUNGU ZAIDI ANABIDI KUPONGEZWA NA KUOMBEWA NA TAIFA ZIMA
 
Daaaah.
Nashindwa sijui uelimishwe sijui upuuzwe!

WANAOKUTUMA KUJA KUIPONDA NA KUISEMA VIBAYA SERIKALI KWA MANUFAA YAO BASI WAWE WANAKUPA NA HOJA SIYO TU KUPARAMIA, NIMEKUHURUMIA SANA!

anyway bajeti unayosikia kila mwezi wa sita ikipitishwa bungeni ndyo kodi yako wewe, yule, huyu na mimi
 
Faki zati bichi.
 

TAZAMA KODI YAKO ILIVYOTUMIKA KUUWA WATANGANYIKA OKTOBA 29

TAZAMA MAKABURI YA HALAIKI YA WALIOULIWA OKTOBA 29, 2025
 
TAZAMA KODI YAKO ILIVYOTUMIKA KUUWA WATANGANYIKA OKTOBA 29

TAZAMA MAKABURI YA HALAIKI YA WALIOULIWA OKTOBA 29, 2025


TAZAMA JINSI VIJANA WALIVYODANGANYWA
 

Attachments

  • Screenshot_20251220-071210_1766204935841.jpg
    368.7 KB · Views: 9
Serikali baada ya kukusanya kodi zetu haitoi ufafanuzi sahihi mfano huu mwaka serikali imekusanya takriban trilioni 8.7 za kitanzania Lakini hatuambiwi mgawanyiko wa hizi fedha maana ni fe
umeandika ili nawe uonekane umesema lakini hili andiko lako halina mashiko.

Matumizi ya kodi zinaokusanywa na mapato mengine ya serikali huwa yanaonyeshwa namna yatakavyotumika kupitia bajeti kuu ya serikali inayosomwa bungeni kuanzia mwezi April hadi June kila mwaka ambapo kika wizara hueleza matumizi yake na wizara ya Fedha husoma bajeti kuu ya serikali nzima.
 
Eti shule na hospital za kisasa kama zipi? Mbona wakiugua tezi dume na figo wanakimbilia Ulaya na India.Hizo shule mbona watoto wanasoma private.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…