Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,083
- 8,222
Hizo bei zilipandishwa kipindi cha nani?Jiwe lilikuwaga jiwe kweli
Hizo bei zilipandishwa kipindi cha nani?Jiwe lilikuwaga jiwe kweli
Mwendazake alitaka chanzo cha habari kiwe TBccm pekee,ila hii maiti ilikuwa ina mawazo ya kizamani kweliVimeshuka ila kumbuka Mwendazake ndie aliyepandisha kodi
Nafikiri baadhi ya mitandandao wanafanya price discrimination, kwangu mimi offer ziko vizuri 1000tsh napata 1gb, dk 100, na sms 1000, laini zangu zote tigo na voda napata hii offer.
Ila kuna mtu kwa buku hapati kifurushi hicho.
If that is the case kwanini serikali isitoe bei elekezi? kuna haja gani kuwaambia washushe gharama zao kama mwisho wa siku kila mmoja ataamua ashushe kwa kiasi gani? au asishushe kabisa?Uko sahihi, it seems kila mtu anapewa price ya bando kivyakevyake tofauti na mwenzake
Lakini mkuu mama alitoa maagizo kwenye kampuni zote za cm zi angalie upya ziache kuumiza wanainchi au wewe hukumsikia,sasa hivi tunataka kuona utendaji wake hayo mambo ya mwendazake amesha enda maisha lazima yaendelee. Kwa sababu yeye ndio kashika usukani,mbona wateule wa mwendazake kawapangua hili linamshindaje?Moja kati ya udhaifu mkubwa sana wa Watanzania ni upotezaji wa kumbukumbu hata kwa jambo ambalo halina hata miezi 6; kwani ile issue ya kuongeza bei za vifushi vya internet ilitamkwa lini na nani? Sio waziri muhusika tena enzi za mwendazake? Tusiisingizie awamu ya sita, tusiyasingizie makampuni ya simu. Lawama au pongezi ziende kwa muhisika
Endeleeni kupiga kelele, ila kampeni zenu zitafeli. Hizo bei kubwa za bando zilipandishwa na huyo mnayemsifia. Wanafiq tu nyinyi. Wakati Zantel kwa 1500 unapata gb 1.5 kwa wiki. Uchawi sio lazima mbebe tunguri.Kabisa mkuu, yaani huyu mama hakuna kitu kabisa naona tunarudi kwenye enzi za MSOGA na wale watu wa kauli mbio ya UNANIJUA MIMI? wameanza kurudi mjini, tena kwa kasi ya ajabu kuliko mwanzo
Nashukuru mkuu kwa kuja tena, binafsi sikumsikia mama but kupitia maneno yako mwenyewe,) kama umemnukuu vizuri), kwamba mama alisema "kampuni za cm ziangalie upya, ziache kuumiza wananchi". Hilo neno/sentesi ziangalie upya lina maana gani kwako? Huwezi kujua, huenda wameangalia upya kweli na wakaishawishi serikali (ambayo of course kwa msimamo wangu, ni serikali ndio iliopandisha kupitia Ndungulile) na serikali ikaamini na mambo yanaendelea. Sipendi bei hizi mpya cause hata mimi zinaniumiza but ukifanya utafiti mdogo, bado Tanzania tuna unafuu wa bei za internet kulinganisha na nchi nyingi.Lakini mkuu mama alitoa maagizo kwenye kampuni zote za cm zi angalie upya ziache kuumiza wanainchi au wewe hukumsikia,sasa hivi tunataka kuona utendaji wake hayo mambo ya mwendazake amesha enda maisha lazima yaendelee. Kwa sababu yeye ndio kashika usukani,mbona wateule wa mwendazake kawapangua hili linamshindaje?
Mbona Makampuni yote wameshusha waliambiwa waachane na bei mpya(elekezi)na waendelee na bei zao za zamani na wamefanya hivyo sasa kelele zinatoka wapi tena?Natafakari sana haya makampuni ya simu kuigomea serikali kupunguza bei ya vifurushi. Katika awamu ya tano tulijionea, serikali ilikuwa ikiamua jambo lake, watendaji waliwajibika kwa wakat na kwa speed mujarabu. Tunajionea kwa macho na kwa vitendo awamu hii ya Sita ipo slow sana inaenda sawia na sauti ya upole na ya taratibu ya rais mama yetu Samia.
Takiriban miezi miwili sasa Wananchi tunapigwa punch za uso na makampuni ya simu kwenye bei ya vifurushi kuwa juu, hatimaye Wwnanchi wameanza kuizoea hali hii.
Huko mbele Kuna hatari tutakuja kujionea kila taasis za binafs zitoazo huduma kujipandishia bei watakavyo, mfano shule binafsi zitapandisha ada na kuongeza michango na kwani serikali ni butu, hii ni mfano Michache. mapovu ruksa.
WAPIGAJI mnakuja kwa nguvu zote kutetea upuuzi!Endeleeni kupiga kelele, ila kampeni zenu zitafeli. Hizo bei kubwa za bando zilipandishwa na huyo mnayemsifia. Wanafiq tu nyinyi. Wakati Zantel kwa 1500 unapata gb 1.5 kwa wiki. Uchawi sio lazima mbebe tunguri.
Hapana hapa mwenye kosa ni TCRA sio VODA au TIGO..... muongozo unataka MB moja iuzwe mpaka Tsh 9 max. Kwa mahesabu hayo hizo 500 MB wakisema wauze bei halali ndio mkaanza lalamika MB 500 kwa elfu 4 and so on.Hawajutii chochote mkuu, wamefanya usanii hapa na pale - lakini either way wame-peg major/popular bundles predominantly kwenye 500Mb, wanacho ongeza ni muda wa maongezi wakati wateja wanacho gomba ni bundle za data sio voice.
TCRA wakumbuke kwamba wananchi karibu wote wanajifunza mengi kupitia kwenye mitandao na sio kwenye maongezi na simu - hilo wala Serikali yetu ilioni wana wachia makampuni ya simu yafanye yapendalo bila wasi wasi wowote - we fikiria kampuni hizi zilivyo za ajabu kidogo - mfano Airtel bundle ya UNI wameifanyia usanii na mamlaka husika wako kimya kabisa, mamlaka hii hii iliahidi wananchi pamoja na Rais kwamba wata hakikisha charges zitarudishwa kama zilivyo kuwa tangu mwanzo - sasa huu mwezi wa ngapi tangu TCRA itoe ahadi?
Kipindi jiwe anaumwaHizo bei zilipandishwa kipindi cha nani?
Nawe utakufa tu. Utamkuta jiwe ni kiongozi wa malaika huko mbinguniBando bei zake zilipanda kipindi cha hilo jiwe lako, au umesahau? Jiwe was nothing and curse for this nation. Let him die again where he is.
Kuna tatizo hapo, mimi naona wanafanya bei tofauti kwa kila mteja, kuna rafiki yangu bila 3000 hawezi pata hizo offer mimi ninazo.If that is the case kwanini serikali isitoe bei elekezi? kuna haja gani kuwaambia washushe gharama zao kama mwisho wa siku kila mmoja ataamua ashushe kwa kiasi gani? au asishushe kabisa?
Hii issue imekaa kisanii sana, inawezekana serikali na makampuni ya simu wanaijua siri kati yao ndio maana serikali iko kimya, hasa ikizingatiwa kodi kubwa hayo makampuni ya simu yanayolipa kwa serikali.
Mzee watu wakiongea wananyamazishwa kwa neno la SUKUMA GANG,wacha tunyamaze kimyaaa maana serikali ya sasa ni kwa hisani Ya Team Msoga na ChademaNatafakari sana haya makampuni ya simu kuigomea serikali kupunguza bei ya vifurushi. Katika awamu ya tano tulijionea, serikali ilikuwa ikiamua jambo lake, watendaji waliwajibika kwa wakat na kwa speed mujarabu.
Tunajionea kwa macho na kwa vitendo awamu hii ya Sita ipo slow sana inaenda sawia na sauti ya upole na ya taratibu ya rais mama yetu Samia.
Takiriban miezi miwili sasa Wananchi tunapigwa punch za uso na makampuni ya simu kwenye bei ya vifurushi kuwa juu, hatimaye Wwnanchi wameanza kuizoea hali hii.
Huko mbele Kuna hatari tutakuja kujionea kila taasis za binafs zitoazo huduma kujipandishia bei watakavyo, mfano shule binafsi zitapandisha ada na kuongeza michango na kwani serikali ni butu, hii ni mfano Michache. Mapovu ruksa.
Nafikiri baadhi ya mitandandao wanafanya price discrimination, kwangu mimi offer ziko vizuri 1000tsh napata 1gb, dk 100, na sms 1000, laini zangu zote tigo na voda napata hii offer.
Ila kuna mtu kwa buku hapati kifurushi hicho.
Vifurushi vilisharudi kama zamani nyinyi watu.Hakuna kitu mule... MWAMBA ULISHAANGUKA
Uyo dikteta mwendawazimu ndio chanzo cha haya yote,,iyo sheria iliyosababisha bei ya vifurushi kupanda imetungwa kwenye utawala wa dikteta majinuniHakuna kitu mule... MWAMBA ULISHAANGUKA
Hisense Vidaa nilikuwa unamaanisha vodacomVida
Vida ndio ipi hiyo