Mkuu serikali iliyopo haipo kwa ajili ya kumukwamua mtanzania masikini.....Tatizo kubwa siyo kodi tatizo kubwalipo kwenye matumizi ya kodi..
Ni kweli kwamba hakuna nchi duniania ambayo kodi siyo kipaumbele...
Hauwezi kunyonya wana nchi wa hali ya chini ili hali vigogo wanaendelea kunenepeshana na kujigawia posho nyingi ....
Kwangu nionavyo nilazima tuangalie ivi kwanza.
1.Matumizi holela ya fedha za serikali zifutwe kabisa, kwa maana ya ziara za hovyo za mawaziri na Rais kisiasa ...
2. Posho za wabunge na mishahara minono ipunguzwe ubunge siyo kazi ni udalali iliyo changamka.
3.Serikali ipunguze idadi ya mawaziri wanao kula pesa nyingi ili hali kazi zao zinaingiliana, baraza la mawari liwe ni ndongo, Then makatibu wakuu wafanye kazi, siyo una kuta wizara moja kuna mawazi wawili na makatibu watatu, je hawa watu kiutendaje wanafanyaje kazi??? Mfano ikiwezekana wizara ambayo siyo nyeti ....
Ibaki waziri na makatibu wawili hakuna haja ya manaibu ...,
4.pawepo na usimamizi imara ya ku_control pesa za UMMA, siyo TRA, Hii inayo tudanganya kila kukicha ili hali ni wezi watupu...