jiwe la maji
JF-Expert Member
- May 17, 2014
- 1,062
- 705
Mkandara , wzn wamelalamika 22 ni mengi, leo unaendaje kuwaambia yote ni ya muungano? Sio wewe uliyewahi kusema Tanganyika imeingiza mambo kinyemela. Leo unabadilisha poisition. Mkuu ! please unachanganya umma. Hatuna tatizo kama unajichanganya, unapogusa umma inatuuma Na nasema wazi kwamba tukitaka serikali 3 basi ni lazima mambo yote yawe ya Muungano kama walivyopanga waasisi wetu kama hatua ya kufikia muungano kamili ambayo inapelekea hisia za serikali moja, lakini sisi tutagawa mamlaka ya kuendesha shughuli za serikali uwe wa pande mbili kwa serikali ya Bara na Zanzibar. Ok, nimekuelewa! yaani tuwe na serikali ya Tanganyika na Zanzibar halafu serikali moja ambayo ni ya shirikisho.andara;10296423]Nguruvi3Nachopinga mimi ni muundo wa serikali 3 unaoweka mambo 7 yasokuwa na umuhimu kwa nchi husika kuunda muungano wetu isipokuwa ni kuubomoa na kuunda shirikisho kama NATO ama nchi za Ulaya la majeshi na maswala ya mambo ya nje of which Zanzibar na Tanganyika hatuna haja wanaweza yamudu wenyewe na sii priority ya wananchi.
Upo katika rekodi zangu nilizoangalia leo ukisema kuwa, znz ipewe nafasi ya kumiliki uchumi wake. Kwamba, JMT imeinyima nafasi. Znz haiwezi kukopa wala kupata misaada. Sasa mkuu, huoni malengo ya serikali 3 ni kuboresha shughuli zake kama ulivyosema kwa Zanzibar.Wingi wa serikali hauondoi watataizo ya wananchi bali malengo ya kuunda serikali hizo ni kuboresha utekelezaji wa shughuli zake na hapa sioni kabisa fikra hizo zikitumika kujenga hoja. Tuna serikali hadi za mitaa na hazitazamwi kuboreshwa kwake isipokuwa Utanganyika na Uzanzibar.
Mkuu naona kumbu kumbu zako zina 'rust'. Utata wa muungano ulianza siku nyingi. Hayo mambo 11 yalipofikia 2o ilikuwa wakati huo unaosema utatu haukuwa na shida. Hapa umepotosha vizuri sanaUnajua zamani toka tuunde Muungano wetu tulikuwa na rais na makamu wa rasi wawili, Jumbe akiwa makamu wa kwanza na rais wa Zanzibar na Kawawa akiwa makamu wa pili na msimamizi wa mambo ya Tanganyika. Hivyo tukawa na Utatu ndani ya nchi 1 jambo ambalo halikuleta utata hadi mwaka 1977 tulipoandika katiba Mpya.
Mkuu, kwani Utanganyika unakuuma nini?Hivyo basi, tukubali kwanza uwepo wa serikali 3 utakuwa na manufaa gani katika Muungano wetu badala ya kuanza kunyoosheana vidole kwa sababu tu Mnaitaka Tanganyika. Hakuna mahala napingana na wazo la serikali 3 isipokuwa siii kwa Utanganyika bali kama sababu zitakuwa ni kurahisisha utekelezaji wa shughuli za serikali maana wananchi wanayataka maendeleo lakini muundo uliopo umekuwa kikwazo cha maendeleo hayo.
Mkandara,
Mkandara,
Labda kwa kutufafanulia tu,tuelezee on what principle, serikali ya Taganyika itakuwa justified.Mkandara,
Demand and need for Tanganyika inaweza angaliwa Katika sura kuu Mbili. Sura ya kwanza ni demand and need for Tanganyika government as a matter of principle. Sura ya pili ni demand and need for Tanganyika as a matter of retaliation on Zanzibar. Throughout, mwalimu hoja zake zimekuwa zikiegemea zaidi kwenye formation of Tanganyika as a matter of retaliation huku akionya juu ya Madhara yake. Lakini kwenye upande wa formation of this long overdue government as a matter of principle, mwalimu alipwaya sana na alijua Hilo lakini it was easy to justify and defend under party state politics intermixed na Cold War. Sasa kuna haja ya kuwapa watanganyika serikali Yao as a matter of principle, na kitendo cha CCM to delay towards that end pengine ni a deliberate move ya kupeleka watanganyika kwenye Madai ya Tanganyika Yao as a matter of retaliation ili Yale ambayo mwalimu alionya yakijitokeza, CCM ije na hoja yake juu ya Amani na utulivu ndani ya muungano.
Cc Mag3, Jasusi, JokaKuu, Bongolander, Kobello, Nguruvi3
Sent from my iPhone using JamiiForums
Labda kwa kutufafanulia tu,tuelezee on what principle, serikali ya Taganyika itakuwa justified.
Serikali ya Tanzania,kwa mfano ipo under the principle of African Unity and anti-colonialism (It was also a Zanzibars's principle since Shamte's time), it was also a Kenyan principle as explained by Tom Mboya etc...
Mimi naona ni uongezaji wa gharama tu.
Mkandara,
Demand and need for Tanganyika inaweza angaliwa Katika sura kuu Mbili. Sura ya kwanza ni demand and need for Tanganyika government as a matter of principle. Sura ya pili ni demand and need for Tanganyika as a matter of retaliation on Zanzibar. Throughout, mwalimu hoja zake zimekuwa zikiegemea zaidi kwenye formation of Tanganyika as a matter of retaliation huku akionya juu ya Madhara yake. Lakini kwenye upande wa formation of this long overdue government as a matter of principle, mwalimu alipwaya sana na alijua Hilo lakini it was easy to justify and defend under party state politics intermixed na Cold War. Sasa kuna haja ya kuwapa watanganyika serikali Yao as a matter of principle, na kitendo cha CCM to delay towards that end pengine ni a deliberate move ya kupeleka watanganyika kwenye Madai ya Tanganyika Yao as a matter of retaliation ili Yale ambayo mwalimu alionya yakijitokeza, CCM ije na hoja yake juu ya Amani na utulivu ndani ya muungano.
Cc Mag3, Jasusi, JokaKuu, Bongolander, Kobello, Nguruvi3
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mchambuzi naweza kusema G55 walileta move ya serikali ya Tanzania kwanza kwa kujua ni haki ambayo CCM imeikanyaga na pili ilikuwa ni retaliation kutokana na siasa za matusi, kejeli na ulevi wa madaraka wa Salmin Amour. Lakini sidhani kama walikuwa na sense ya unfairness ya kiuchumi dhidi ya Tanganyika ambayo Nguruvi3 anaileza kila siku vizuri sana. Kwa sasa issue kubwa kuhusu mfumo wa muungano ni economic injustice inayofanywa na Zanzibar dhidi ya Tanganyika. Ajabu ni kuwa CCM inabariki injustice hiyo kwa maslahi yake.
Toka mjadala huu wa katiba uanze, mpaka leo hakuna mwana CCM hata mmoja ambaye amatoa hoja yenye akili kutetea serikali mbili, za sasa na zilizobadilishwa. So far wanaotoa maoni ya CCM wanatoa kwa kutozingatia facts, kwa uoga, na kwa unafiki. Ukisikiliza kwa makini utajua kabisa kuwa maoni yao hayatoki mioyoni mwao.
CCM kwa sasa iko njia panda, serikali mbili kulinda sura yake, serikali tatu kuabika na kulinda muungano na utulivu.
Naunga Mkono hoja. Kama ulivyojadili, Nguruvi3 amekuwa analieleza vizuri sana suala Hili la economic injustice inayofanywa na Zanzibar dhidi ya tanganyika. Lakini Ukisema hivyo, wengi wanaanza sema ni hoja za kupandikiza chuki na ubaguzi, hasa conservatives wa CCM.. Lakini znZ wakati wote wamekuwa pro Tanganyika kwani Hilo litasaidia kuipa znZ more autonomy. Kwahiyo the economic injustice aforementioned is more of a creation of CCM na vibaraka wao Kule Zanzibar than position of Zanzibar as people. Kuna haja ya kutofautisha vitu hivi viwili - what is more correct?
1. je znZ wanataka Tanganyika? Je znZ wanautaka muungano?
2.je znZ wanahitaji Tanganyika? Je znZ wanahitaji muungano?
Haya ni mambo mawili tofauti ingawa yana uhusiano wa karibu.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Yaani hata sikuelewi kabisa. yaani mwalimu alipwaya wakati wewe unaishi katika mfumo huo ukiwa huru pasipo kubaguliwa na amani ambayo huipati nchi nyingine yoyote iwe sio matter of principal? leo wewe kweli unadiriki kusema haya, What is the Principal? - Kuwa na nchi yenye serikali na mipaka ya Utanganyika? hii inakufanya wewe uwe buinadamu kamili au nini umuhimu wa UTU maana nijuavyo miye hii ndio Principal ya Ubinadamu.Mkandara,
Demand and need for Tanganyika inaweza angaliwa Katika sura kuu Mbili. Sura ya kwanza ni demand and need for Tanganyika government as a matter of principle. Sura ya pili ni demand and need for Tanganyika as a matter of retaliation on Zanzibar. Throughout, mwalimu hoja zake zimekuwa zikiegemea zaidi kwenye formation of Tanganyika as a matter of retaliation huku akionya juu ya Madhara yake. Lakini kwenye upande wa formation of this long overdue government as a matter of principle, mwalimu alipwaya sana na alijua Hilo lakini it was easy to justify and defend under party state politics intermixed na Cold War. Sasa kuna haja ya kuwapa watanganyika serikali Yao as a matter of principle, na kitendo cha CCM to delay towards that end pengine ni a deliberate move ya kupeleka watanganyika kwenye Madai ya Tanganyika Yao as a matter of retaliation ili Yale ambayo mwalimu alionya yakijitokeza, CCM ije na hoja yake juu ya Amani na utulivu ndani ya muungano.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ikiwa bado hatujatabanisha muundo wa Tanganyika unaitaka katiba mpya ya JMTya nini? hii katiba iwafunge Watanganyika hata kabla hawajawepo? Kwa nini usianze kwanza na kuunda hiyo Tanganyika na serikali yake, bunge lake na mahakama zake kisha tukubaliane tunataka ushirika wa muungano au laa, tunataka ushirika wa muundo gani maana ukweli ni kwamba hoja zote hizi ni kuuvunja huu Muungano uliopo, tuandike upya ushirika wetu na sii kuandika upya Katiba. Hapa ndipo mimi sikubaliani nanyi kupenyeza hoja ya serikali 3 ilihali mnataka kuandika upya ushirika wetu. Mkinielewa hapo hatuna sababu ya kuendelea kubishana.Dr.Mkandara anapashwa kuwa objective. Anajua hadi sasa hatujataabanisha muundo wa Tanganyika utakuwaje. Wakati ukifika tutashona koti kulingana na maumbo yetu. Ebufikiria tuna haja ya kulipa kodi kuendesha mfumo ya mkuu wa wilaya sambamba na mkurugenzi wa halmashauri? Katibu taarafa je? Tija ipi ya kuwepo majimbo 2 wilaya ya muleba. Mbio za mwengeje? Mkandara umeisha fanya hesabu kwa bajeti ya trillion 20 kwa wtz mil 45 ni kodi ya laki 8 kila mtz. Ukajua kodi ya kijiji watu 1500 ni bil. 1.2 ukalhnganisha na maendeleo yaliyotengewa kijiji kwa matarajio ya hayo mapato tokana na kodi? Kwa nn uione kodi ndio tatizo wakati kodi tunayolipa sasa haitumiki inavyostahili? Selikali tatu haitatumiza kigharama kama pia mapendekezo ya uwazi, uadilfu na uwajibikaji vitakuwa tunu za taifa.
Sawa kabisa, ila na mimi nautafuta siuoni...saidia mkuu...Dr Lipumba alitoa ufafanuzi mzuri sana wa namna ya gharama za Serikali tatu zikavyogawanywa bila kuongeza kwa kiwango kikubwa gharama za sasa za kuendesha Serikali mbili. Nadhani ufafanuzi wake utakuwepo hapa utafute ili uusome kwa kina.
Sawa kabisa, ila na mimi nautafuta siuoni...saidia mkuu...
Haiwezekani kukawa na nchi mbili na serikali Mbili. Ni aidha serikali moja au serikali Tatu. Thats the principle. Mwalimu aliSema Tanganyika sio sera ya CCM, sera ni serikali Mbili kuelekea moja. Maswali kwako ni je:Yaani hata sikuelewi kabisa. yaani mwalimu alipwaya wakati wewe unaishi katika mfumo huo ukiwa huru pasipo kubaguliwa na amani ambayo huipati nchi nyingine yoyote iwe sio matter of principal? leo wewe kweli unadiriki kusema haya, What is the Principal? - Kuwa na nchi yenye serikali na mipaka ya Utanganyika? hii inakufanya wewe uwe buinadamu kamili au nini umuhimu wa UTU maana nijuavyo miye hii ndio Principal ya Ubinadamu.
Kifupi mwalimu alikuwa akituonya watu kama nyie na wengi hawakumwelewa wakati ule, alituonya hata viongozi kama kina Mwinyi, walokuwa wakiamua asubuhi baada ya kukaa na wake zao, kina Mkapa na wote walofuatia vigogo wote walokuja kuitawala nchi hii sii kwa sababu ya UCCM bali fikra zao na utashi wao, haya yote tunayaona leo hii. Viongozi wala nyama za watu ambao wametukuza Utanganyika na Uzanzibar, Rushwa, Ubaguzi wa makabila na Udini haya yote tunayaona leo lakini kama kawaida yenu hamkosi sababu na kwa njiiia moja ama nyingine wewe unawaunga mkono vile vile. Bora kugawana mbao ukiwa na watu wale wale wenye mawazo yale yale. Manshindwa kuona kwamba tatizo sii serikali bali SISI wenyewe ndio tumehalalisha kula nyama za watu.
Na kesho hata mkijayaona makosa yenu bado mtakuja na vijisababu badala ya kukubali makosa mtasema kwani nyama ya mtu sio nyama.