Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 16,989
- 26,109
Ni sawa kife tu maana si walikiiba kwa mujibu wa andiko lako., mpaka mwaka 1975 serikali ilikitaifisha kutoka kwa waingereza
Hizi ni baadhi ya sababu za kuifanya CCM itumie kila mbinu chafu kubaki madarakani.....Kati ya mwaka 1947 mpaka 1975 wakoloni waingereza walikuwa ni wamiliki wa kiwanda kilichokuwa kinaitwa TANGANYIKA PACKERS LTD (TPL) kiliajiri wafanyakazi zaidi ya 1200 na walikuwa wanafanya kazi kwa shift na walichukuliwa kwa mabasi ya kazini, mpaka mwaka 1975 serikali ilikitaifisha kutoka kwa waingereza kuingia serikalini kufuatia sera za ujamaa, kiwanda kilikuwa kikubwa sana, kikisindika nyama za kusaga kwenye makopo na kusafirisha nje ya nchi mpaka kwa malikia wa Uingereza, Neno KAWE maana yake ni COWS WAY yaani njia za ng'ombe, Serikali ilivyokichukua tu kwanza walinyimwa leseni ya kusafirisha nje (walinyimwa cheti kilichokuwa kinaitwa PHYTOSANITARY CERTIFICATE cheti cha kuthibitisha ubora wa vyakula vya package), hivyo soko la ndani likawa gumu kikawa kinasambaza nyama zake kwenye mabucha ya Dsm na badae kija kufa mwaka 1993! Pana mbunge mmoja wa kawe alikinunua kwa Bei ya chini sana nae akashindwa kukiendesha atimae akaanza kuuza mashine na baadhi ya vipuri kama chuma chakavu na mwishoe kikafa kabisa!
Mashirika ya umma yalikufa kwa wizi, tuseme kweli.Kati ya mwaka 1947 mpaka 1975 wakoloni waingereza walikuwa ni wamiliki wa kiwanda kilichokuwa kinaitwa TANGANYIKA PACKERS LTD (TPL) kiliajiri wafanyakazi zaidi ya 1200 na walikuwa wanafanya kazi kwa shift na walichukuliwa kwa mabasi ya kazini, mpaka mwaka 1975 serikali ilikitaifisha kutoka kwa waingereza kuingia serikalini kufuatia sera za ujamaa, kiwanda kilikuwa kikubwa sana, kikisindika nyama za kusaga kwenye makopo na kusafirisha nje ya nchi mpaka kwa malikia wa Uingereza, Neno KAWE maana yake ni COWS WAY yaani njia za ng'ombe, Serikali ilivyokichukua tu kwanza walinyimwa leseni ya kusafirisha nje (walinyimwa cheti kilichokuwa kinaitwa PHYTOSANITARY CERTIFICATE cheti cha kuthibitisha ubora wa vyakula vya package), hivyo soko la ndani likawa gumu kikawa kinasambaza nyama zake kwenye mabucha ya Dsm na badae kija kufa mwaka 1993! Pana mbunge mmoja wa kawe alikinunua kwa Bei ya chini sana nae akashindwa kukiendesha atimae akaanza kuuza mashine na baadhi ya vipuri kama chuma chakavu na mwishoe kikafa kabisa!

Unajaribu kuhalalisha nini ajuza?Mashirika ya umma yalikufa kwa wizi, tuseme kweli.
Mmiliki wa Tanganyika Packers alikuwa ni Mwarabu maarufu aitwae Bathawab, Akataifishwa baada ya aimio la Arusha. Watoto na wajukuu zake wengine wapo mpaka leo mtaa wa uhuru Dar.
Bathawab alikuwa kaajiri Waingereza kwenye managaement. Na nchi ilikuwa chini ya utawala wa Muigereza na vile walikuwa wameajiriwa kukiendesha ikaonekana kama kiwanda hicho ni cha wazungu.