Jang gil san in subttles za kiingereza?..heb nipe link ya site yake yenye eng subtittlesBoanerge;The empress chun chun
King gwanggaetto
The mandate of heaven
Dae jo young
Three days
Jeon woo chi
The great seer
Warrior don soo
Hong dil dong
Tree with deep roots.
King Gwanggaetto ndiyo mpango mzima kuendeleza hapo nyingine inaitwa Jan gil sun
Check Dong yi ina wimbo mzuri kwny background yake umeimbwa na jang naraYaani mimi ni chizi wa hizo movie,hadi ndugu zangu wananiita mkorea manake naweza hadi kuongea kikorea kidogo,wakiongea naweza kutafsiri baadhi ya maneno...nyimbo zao sasa nzuri sana jamani wenzetu wako vizuri sana
Na hizi ni movie ambazo ninazikubali hadi hua nalia nikiziangalia....jumong,the heirs,boys before flowers,queen second,the royal princess,baek dong soo,city hunter...n.k
Mama nyee..ni jina linalotumiwa na mabinti wa kikorea hasa wale palace maids wakiwa wanamwita bosi wao wa kikenani anaikumbuka mamanyee.
Nenda kwenye site ya ondramanice au dramanice, dramacoolJana nimejaribu nikaona process nyingi nikaachana nayo,niambie wewe huwa unaangalia vipi??
Inaitwa Iljimae:The phantom thief, ndio inamuelezea iljimae amekuwa adopted na baba mwizi baada ya baba yake kuuawa.Huu ugonjwa n mbaya sanaaa
Ukianza kuangalia hiz unakesha bila kujua ,nashukuru nilitibu huu ugonjwa ila smtym nazikumbuka
Kwenye the greater queeen kuna kjn anaitwa BIDAM ,kaigiza na kwenye bad man pia..alikiwa na master wake muyyo sijui daah hawa watu balaaa
Ilijimae
Nazan zipo mbili ila kuna.moja yule dogo alilelewa na baba mwizi
Hv yule baba mwizi n mwiz kweli nn ..maana series kibao mwizi
Huyo dogo iljimae yupo kwenye nyingine inaitwa 2wks ..na pia yupo ktk move flan gun and swaodal..maisha yake.ya huruma ila anakuja kushinda na kuleta ladha tamu
Kuna move inaitwa Empress chu chu
Mule ndan kuna general jung
Jamaa kabla.hajafa alipigana na askali mia na.aliuwa wote,
General jung n mtata aisee, yupo moves flan nyingine nimesahau jina star n nchunchu..aliuwa wanajesh wote na.kabla hajaenda vitan aliuwa mke na wattt ila aconcentrate vizur ktk mapigano
Empress ki
Nayo.tamu sanaa
Kuna series flan yupo jamaa anaitwa sky lord na yule.baba wa daeso
Anyway ilistop haya mambo ila kuna series za wazungu pia sikumalizaga sijui zinaendelea
VIKING...hii series nikiipata naangalia hata nimestop niliishia pazur ep4
Revolution....nayo niliishia njian
THE WALKING DEAD....daah haya mambo.haya
NIKITA...
huyo jamaa anaitwa JUMUNGO naona.katoa series mpya.matara sana..sasa wadogo wanaangalia zimetafsiliwa.kiswahili,lijamaa linaongea kiswahili linaboa sanaa aisww
Hovyo hovyoo sijui wanaenjoy vip
naweza ku download kupitia web gani mkuuMkuu!
Kwanza itafute Downloader inaitwa Dramas5 huko utakutana na series na movies za Kijapani, Kichina na Kikorea.
Usisahau kuleta mrejesho hapa jamvini!
Nenda kwenye site ya ondramanice au dramanice, dramacool
Saaana yani ni bonge la storyWatch Empress KI
Mkuu nitajie drama Kali za korea za mjiniSaaana yani ni bonge la story