SERIES YA SEE NI MOTO [emoji108]

SERIES YA SEE NI MOTO [emoji108]

Richmoto Kushmoto

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2021
Posts
549
Reaction score
561
Kama wewe ni mpenzi wa series basi kwenye hii series kuna mtaalamu Jason momoa majamaa ni vipofu lakini wanahisi na uwezo mkubwa wa kusikia kama unapenda insane action humu wanakiwasha kweli

hii ni moja ya series niliikubali kinoma naipa rate 9/10 very konki fire

Na kuna vilain wakibabe sana asee nipo Episode 04 hapa
 
Kuna ex wangu anaipenda hii na ndie aliwahi niambia iyo series ni vipofu wote halafu mpya imetoka juzi hata mwezi haina..
 
Kama wewe ni mpenzi wa series basi kwenye hii series kuna mtaalamu Jason momoa majamaa ni vipofu lakini wanahisi na uwezo mkubwa wa kusikia kama unapenda insane action humu wanakiwasha kweli

hii ni moja ya series niliikubali kinoma naipa rate 9/10 very konki fire

Na kuna vilain wakibabe sana asee nipo Episode 04 hapa
Ni see au SAW!?
 
Netnaija.com wapo vizuri hawa wapuuzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom