Series ya Money Heist

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
22,170
Reaction score
43,971
Jamani nimesikia series ya Money heist ni nzuri sana lakini Me kwa kweli wanavyoongea kiispania nimeshindwa kuifatilia.. Je kuna Episodes zake ambazo wanaongea Kingerezaa???? Yani zimetafsiriwa???

NB: SIMAANISHI SUBTITLE ZA KINGEREZA.
 
Reactions: Ctr

Mimi ninayo ya kiingereza zote moja hadi tatu
 
Jamani nimesikia series ya Money heist ni nzuri sana lakini Me kwa kweli wanavyoongea kiispania nimeshindwa kuifatilia.. Je kuna Episodes zake ambazo wanaongea Kingerezaa???? Yani zimetafsiriwa???

NB: SIMAANISHI SUBTITLE ZA KINGEREZA.

Hapa utazipata series zote tatu (3)

Una download vipi kwa simu mkuu, maana naona mapicha picha tu.!
 
Mkuu ukitaka uifurahie iangalie kwa original language(spanish) halafu uwe na sub za kiingereza.

Zile ambazo zimekuwa dubbed hazina msisimko.
Mi nnayo season 1-3
Jamani nimesikia series ya Money heist ni nzuri sana lakini Me kwa kweli wanavyoongea kiispania nimeshindwa kuifatilia.. Je kuna Episodes zake ambazo wanaongea Kingerezaa???? Yani zimetafsiriwa???

NB: SIMAANISHI SUBTITLE ZA KINGEREZA.
 
naipataje mkuu

Ingia hapa

rikiboy,
Sisi tuliovumili kispanish iko season 1 na 2 tuliangalia kwa kiingereza season 3 tulitamani turudi kwenye kispanish
 
Jamani nimesikia series ya Money heist ni nzuri sana lakini Me kwa kweli wanavyoongea kiispania nimeshindwa kuifatilia.. Je kuna Episodes zake ambazo wanaongea Kingerezaa???? Yani zimetafsiriwa???

NB: SIMAANISHI SUBTITLE ZA KINGEREZA.
mkuu ingia toxicwap.com utapata mzigo wooote kwa kiinglishi ila ukitumia iyo 02tvseries.Com jiandae na kihispanyora humo

NB sio kali sanaaaa kama watu wanavyo ikuza humo ndan profesa anajua kila kitu ambacho police wanawaza yeye ni mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…