series ya 24 imeanza ITV

nitonye

JF-Expert Member
Dec 18, 2011
7,273
3,750
haya wale wapenzi wa series ya 24 ipo ITV imeanza kuonyeshwa now
 
wapenzi watakuwa washaimaliza
tangu niemanza kuisikia.

Labda kwa sie tusio ha hobby
 
Ndio season ya ngapi mnaangalia?

Wengine tulishaimaliza zamani, kilichobaki ni kuwa spoilers.

kama sikosei ni ya sita au tano ile ya kuuliwa kwa david palmer na michelle
 
Mimi nina DVD zote kuanzia season 1 hadi 24 sasa itv wanaonyesha nini??wakati ni vitu vimepitwa na wakati?
 
Mimi nina DVD zote kuanzia season 1 hadi 24 sasa itv wanaonyesha nini??wakati ni vitu vimepitwa na wakati?

Mkuu sio wote waliopata nafasi ya kuziona zote Tanzania ina zaidi ya watu milion 45
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom