kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,186
- 4,885
Chuma ilikuwa imekaha tu ndani daah nikasema ngoja nipoteze muda na hii kumbe ni moja kati ya KAZI NZURI sana
Nahipa 9 ya 10
Nahipa 9 ya 10
Umeicheki 1377x.to?Wadau hii series ni ya mwaka 2012, nimejaribu kuitafuta bila mafanikio. Mwenye link yake, natanguliza shukraan!View attachment 2023403
Imetulia sanChuma ilikuwa imekaha tu ndani daah nikasema ngoja nipoteze muda na hii kumbe ni moja kati ya KAZI NZURI sana
Nahipa 9 ya 10
View attachment 2023324
Na wanawaogopa hatariNikishabonaga series inasomeka NARCOS najua humo ndani ni balaa.madon wa mihadarati wanawatumikisha sana watumishi wa serikali tena wenye mamlaka za juu, kwa ajili ya njaa njaa zao...
Big upUmeicheki 1377x.to?
Wadau hii series ni ya mwaka 2012, nimejaribu kuitafuta bila mafanikio. Mwenye link yake, natanguliza shukraan!View attachment 2023403
Shukraan!Download Missing s01 Torrents | 1337x
1337x is a search engine to find your favorite torrents.www.1377x.to
Ni moja kati ya chuma kaliChuma ilikuwa imekaha tu ndani daah nikasema ngoja nipoteze muda na hii kumbe ni moja kati ya KAZI NZURI sana
Nahipa 9 ya 10
View attachment 2023324
Moiraine and Lan find help in an unexpected - and unwanted - quarter, as the separated villagers try to find their way back to each other, or at least to refuge. But they all soon learn how far the Dark One's reach extends, and how few they can trust on the road.View attachment 2023433
Mzigo mkali nipo episode ya 2 na mpk sasa wameachia episode 3 mpk najilaumu kwanini nisingesubil zote zitoke maana naona mzigo wa moto alafu episode zimekata ,yes huo mzigo ni FantasyNi Fantasy series, hebu niambie zaid kama kali niitafute asap
Inawezekana ukawa sahihi, maana hata breaking bad mwanzo ilinishinda..ila kila mahal inasifiwa ikabidi nikomae nayo, dah nilijilaumu sana kwann sikuiona siku zote.Dah
Peaky Blinders leo haina maajabu?tulia nenda nayo taratibu Kiongozi
Peaky Blinders ni kama hizi series Breaking Bad,Ozark na zinginezo,ukisimulia utaambiwa ni kali balaa,ni kweli kali ila zipe muda,huko mbele utakuja kushukuru hapa
Ila ukienda na imagination zako kuwa ni kali,episodes za mwanzo tu zitakushinda maana kile ulichokitegemea hautakuwa umekiona kwa muda ule..
Acha nisubiri final season ya sita,inayotoka mwakani
Dah
Peaky Blinders leo haina maajabu?tulia nenda nayo taratibu Kiongozi
Peaky Blinders ni kama hizi series Breaking Bad,Ozark na zinginezo,ukisimulia utaambiwa ni kali balaa,ni kweli kali ila zipe muda,huko mbele utakuja kushukuru hapa
Ila ukienda na imagination zako kuwa ni kali,episodes za mwanzo tu zitakushinda maana kile ulichokitegemea hautakuwa umekiona kwa muda ule..
Acha nisubiri final season ya sita,inayotoka mwakani
Tuwekee link mkuuItoe Breaking Bad kwenye hiyo list.. umeikosea heshima.
Mi nimeangalia Peaky Blinders na nahisi imekuwa overrated mno.
Mpaka nilipomaliza Season 2 ndo ikawa mwisho wa uvumilivu wangu, maana ilikuwa inanimalizia tu MB zangu ukizingatia Episode zake HD zilikuwa kubwa sana.
Nilianza kuangalia hivyo hivyo mdogo mdogo kuanzia Season ya 1 nikitegemea makubwa kama nilivyosikia kwa watu lakini wapi.
Ngoja niutafute huu mzigoGomorrah..ni mzigo wa Kiitaliano kutoka kwenye mji wa Napol...its all about drugs,ina season 4 complete,ya tano ambayo ndio final season imeanza kutoka tarehe 19
Kiukweli ilinishinda..labda sikuilewa vizuri mwanzoPeaky Blinders mbona Kama najiforce kuikubali hiviii... Season one siona maajabu yani au zinazofata ndo zipo moto