Baharia mweuc
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 654
- 761
Daah! Ni maoni yako ambayo yanatokana na kuipenda the lost na series zingine na kutoipenda money heist au Game of Thrones na hivyo hivyo atatokea mtu mwingine atasema izo series zenu mbaya series kali ni 24 au prison break hayo ni maoni ya mtu na kipi anapenda series iwe na sio rate za IMBdπππ YES MONEY HEIST NI KALI KULIKO THE WIRE, acha acha acha kabisa mkongwe!!!
Naona Breaking Bad ipo nafasi ya 19 katika hiyo list ππππ, Stranger Things namba 2.
Mzee hii Money Heist ni series ya kawaida sana. Ngoja nikuchekeshe zaidi, hii Money Heist haiifikii hata Lost, ingawa Lost haipo katika hiyo list ya TV shows zilizowahi kutazamwa zaidi ila bado ukiziweka pamoja hiyo Lost inashinda asubuhi na mapema (kwa wanaojua contents and quality lakini).
Mjomba kwa huu mtazamo wako, nafikiri haushindwi kusema Drake ni mwana Hip Hop bora kushinda Kendrick Lamar. Populality and quality are different terms Broh.
Na ukizungumzia The lost nimeangalia mwanzo mwisho so hata kwangu haipo poa kama Money heist so haiwezi kushinda hata siku moja.
Sasa unaponichekesha ni hapa kama Lost haipo kwenye iyo list na haipo kwenye Top 10 za series bora za muda wote za IMDb na imepewa rate sawa na Money heist na haohao IMBd inakuwaje wewe unasema ipo bora kuliko money heist wakati IMBd unayoiamini ni source yako bora imeitoa kwenye list na kuipa sawa na money heist?
Huoni kama unatoka kwenye mstari π€£π€£π€£π€£