The Professor
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 2,218
- 4,533
Bro jitahidi uvuke hio season 2 mbele ni ya moto kinoma hutochoka kuitazama, nashindwa niandikaje ili uelewe kua namaanisha ni ya motonilishindwa kuangalia homeland season 2
Bro jitahidi uvuke hio season 2 mbele ni ya moto kinoma hutochoka kuitazama, nashindwa niandikaje ili uelewe kua namaanisha ni ya motonilishindwa kuangalia homeland season 2
Mimi mwenyewe hii kitu ilinishinda ngoja nimalize kuitazama home landa na deep state niijaribu hii breaking bad maana naona inasifiwa kinomaNgoja nianze kuiangalia Nina season 1 ila baada ya episode chache nikaipotezea. Naiangalia nikilenga kuenjoy hiyo season2 sasa ikiwa kinyume lawama zangu nakupa wewe
Inachekesha kweli mkuu, nihakikishie unaipa asilimia ngapi out of 100% niipakue now, kuna nyingine ni ya muda lakini inachekesha kinoma inaitwa worst week nadhan hata you tube inapatikanakwa wale wapenzi wa comedy series, pakua "orange is the new black" season 7 ndio final season.....View attachment 1164865
Huu mzigo ni hatari professor he is out of this world kama zile mambo zisingekua ni act jamaa angekua balaa sana angewalaza wengi na viatuMoney heist ni balaa sana ..
Hapa nipo na s03 sasa naogopa kuimaliza yote.
Kwahio nafanya kuangalia episode moja then natafakari , naenda kwenye mizunguko yangu jioni nakuja kuangalia nyingine..
Hii yote nafanya ili isiwahi kuisha..
Hawa jamaa wangeweka episodes hata 20
o2tvseries.comHiyo money heist nita download wapi kwa kutumia simu? ? msaada
***** Castle msenge anafight alone afu huwa hashindwi.... ni moto hatari.Hiii vipi wakuu???? Iko poa? View attachment 1164902
Ilifutwa lini mkuu? Mbona M nimeicheki yote..Ni Kali lakini ilifutwa season 2
Uzi unajua ulitoka lini huu???Ni kwamba hujaangalia MONEY HEIST/LACASA DE PAPEL au???!
Kachek powerOya ntajieni series yenye kwichkwichi
480mkv.netKuna mtu alitoa humu series moja inaitwa HOME LAND, danh huu mzigo ni hatari kwa ambao hamjaucheki ni bonge moja la picha full intellegence nimeitafuta nimeipata now nipo season ya 4 episode 7 nadhani zipo season 7,, bonge moja la picha hutojutia muda wako.
Kuna nyingine nayo inaitwa BILLIONS nimeicheki trailer yake you tube inaonekana ni tamu sana bahati mbaya kwa index kule google sijaikuta.
Mwisho niombe msaada jinsi ya kui download money heist season three , hd video kwa kutumia simu, msaad tafadhali maana kwa index google ipo season one na two peke yake.
480mkv.net
daah hii familia ni shidaa. kuanzia shangazi mtu mpaka watotoBy the order of PEAKY FUCKING BLINDERS S5 ipo njianView attachment 1165906View attachment 1165907View attachment 1165908View attachment 1165909
Powe
Banshee
Got
Sex education
Warrior
Zote nimechek
Spartacus INA kwichikwichi sanaa tu. Ila sasa haikosekani mambo ya ushogaPowe
Banshee
Got
Sex education
Warrior
Zote nimechek
dah kwangu naipa 80% its all about maisha ya jelaInachekesha kweli mkuu, nihakikishie unaipa asilimia ngapi out of 100% niipakue now, kuna nyingine ni ya muda lakini inachekesha kinoma inaitwa worst week nadhan hata you tube inapatikana
Kuna uwezekano wa ujio wa Money Heist 4
Berlin hawezi kurudi mkuu.
Mimi naamini pale anapoonekana Berlin kuna mawili,huenda Professor alikuwa anasimulia jinsi alivyokutana na Berlin wakati anaandaa heist ya kwanza au Professor anakumbuka.
Sioni ni namna gani Berlin anaweza kuondoka hai kwenye lile shambulizi lililomkuta,pia kumbuka muda wake wa kuishi ulikuwa umeisha kwasababu ya ule ugonjwa wake.
Ila ngoja tuone itakavyokuwa.
Chief taja top 5 ya series zako za mission.Daah....mimi binafsi napenda sana series za mission sana, yaan zinatumika akili nyingi sana kusolve mission km terrorism hivi. Kwahiyo kwangu series ambayo siichoki kuangalia ni "24 HRS" ya Jack Bauer. Though zipo series nyingn nyingi nimeshaangalia.