Series (Special thread)

Ngoja nianze kuiangalia Nina season 1 ila baada ya episode chache nikaipotezea. Naiangalia nikilenga kuenjoy hiyo season2 sasa ikiwa kinyume lawama zangu nakupa wewe
Mimi mwenyewe hii kitu ilinishinda ngoja nimalize kuitazama home landa na deep state niijaribu hii breaking bad maana naona inasifiwa kinoma
 
Money heist ni balaa sana ..
Hapa nipo na s03 sasa naogopa kuimaliza yote.

Kwahio nafanya kuangalia episode moja then natafakari , naenda kwenye mizunguko yangu jioni nakuja kuangalia nyingine..

Hii yote nafanya ili isiwahi kuisha..


Hawa jamaa wangeweka episodes hata 20
Huu mzigo ni hatari professor he is out of this world kama zile mambo zisingekua ni act jamaa angekua balaa sana angewalaza wengi na viatu
 
Kuna mtu alitoa humu series moja inaitwa HOME LAND, danh huu mzigo ni hatari kwa ambao hamjaucheki ni bonge moja la picha full intellegence nimeitafuta nimeipata now nipo season ya 4 episode 7 nadhani zipo season 7,, bonge moja la picha hutojutia muda wako.

Kuna nyingine nayo inaitwa BILLIONS nimeicheki trailer yake you tube inaonekana ni tamu sana bahati mbaya kwa index kule google sijaikuta.

Mwisho niombe msaada jinsi ya kui download money heist season three , hd video kwa kutumia simu, msaad tafadhali maana kwa index google ipo season one na two peke yake.
480mkv.net
 
Berlin hawezi kurudi mkuu.
Mimi naamini pale anapoonekana Berlin kuna mawili,huenda Professor alikuwa anasimulia jinsi alivyokutana na Berlin wakati anaandaa heist ya kwanza au Professor anakumbuka.
Sioni ni namna gani Berlin anaweza kuondoka hai kwenye lile shambulizi lililomkuta,pia kumbuka muda wake wa kuishi ulikuwa umeisha kwasababu ya ule ugonjwa wake.
Ila ngoja tuone itakavyokuwa.
 
Daah....mimi binafsi napenda sana series za mission sana, yaan zinatumika akili nyingi sana kusolve mission km terrorism hivi. Kwahiyo kwangu series ambayo siichoki kuangalia ni "24 HRS" ya Jack Bauer. Though zipo series nyingn nyingi nimeshaangalia.
Chief taja top 5 ya series zako za mission.
 

Similar Discussions

67 Reactions
Reply
Back
Top Bottom