Victor Chilambo
Senior Member
- Jan 31, 2019
- 111
- 43
Yule alie kua na dada yake sunny sio quinQuinn amerudi wapi Kiongozi..?
Yule alie kua na dada yake sunny sio quinQuinn amerudi wapi Kiongozi..?
Owk mm niko tayari wanidanganyeee asee nafata story yaoMatukio mengi yamawezeshwa na computer inakua ni kama unaangalia animations
Yaaani inavyozidi kuisha ndio inakuwa ya moto...naona nguvu imewekezwa kumshusha pilgrim.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ndio kabisa mkuu ilinishinda kabisaHaha hyo series ya kishamba siangalii mkuu,ilinishinda
24Wakuu najua kila mtu ana mitizamo yke na preference zake ila ingependeza kama tukajaribu kushare ideas za series kali ambazo umeenjoy kuziangalia zaidi so far..itakuwa rahisi kama kila mtu akataja Top 10 list yake,personally mi napenda series za aina zote kasoro za kikorea na za vichekesho/Sitcoms..na hii ndo all time list yangu!
1.Prison Break
2.GoT
3. 24
4. Breaking Bad
5.Vikings
6.Spartacus
7. Blacklist
8. The Last Kingdom
9. Into the Badlands
10. Strike Back
Sio Quinn yule..!Yule alie kua na dada yake sunny sio quin
Hiyo ni kawaida mkongwe...Mimi ndio kabisa mkuu ilinishinda kabisa
Asee kumbe yule sio quinn ngoja nimuangalie vizuriiiSio Quinn yule..!
Ahahaaaah...Asee kumbe yule sio quinn ngoja nimuangalie vizuriii
Niko interested mkongwe..!Kama uko interested you may find me tuongee zipo 500+ single muvi na series kadhaa...
View attachment 1081005View attachment 1081006
nazitoa hizo mkuuNiko interested mkongwe..!
Nazipataje mkuu..?nazitoa hizo mkuu
Ni kweli sio lazima uangalie kila seriesHaha hyo series ya kishamba siangalii mkuu,ilinishinda
Maana yake hata zile sci fi series huangaliagi si ndiyoHa ha mwenyewe ilinishinda episode za mwanzo tu..mi series ikishakuwa na uongo uongo mwingi basi naidelete..
Hata Blindspot walipoanza kuleta imagination za kipuuzi nikaachana nao!
Mkuu naomba linki ya the kill point..nimekosa sehemu ya kuidownloadWazee wa LA CASA DE PAPEL,na movie za aina hio,kuna hii mambo inaitwa THE KILL POINT,ya mwaka 2007.
Kutana na mtaalaam John Leguizamo kama MR WOLF(robbers wanatumia majina ya wanyama),utamkumbuka katika JOHN WICK kama Aurelio,veteran wa Iraq war,akiwa na wahuni wenzake katika harakati za kukwapua mipunga benk.Believe me,It is worth watching
Yule ni auinn maana hata kuna time sunny alimwambia dada yake "....don trust him he do the same tome he called me his son but I was his dog..,"Quinn amerudi wapi Kiongozi..?
QuinnYule ni auinn maana hata kuna time sunny alimwambia dada yake "....don trust him he do the same tome he called me his son but I was his dog..,"