Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,646
- 44,228
Ndo naanza kuichek hapa,nilimmiss mzee mwwnye siri nying na fundi wa kujiamin na mipango Red Reddington
Sent using Jamii Forums mobile app
Imetoka na episode ya pili leo
Ndo naanza kuichek hapa,nilimmiss mzee mwwnye siri nying na fundi wa kujiamin na mipango Red Reddington
Sent using Jamii Forums mobile app
Updates Display driver za computer yakoTerrarium tv imerudi ila mizinguo mingi movie nyingi wanakwambia no link available.... Naomben pa kupata money heist.... Nmejarib kupitia index of money heist ila nkiweka kwenye pc yangu haineshi picha nasikia sauti pekee
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio imeisha hvyoKwamba ile No Easy Days ina episode nane tu au naona maruwe ruwe mi mwenyewe au wameisitisha maana ilishaanza kunoga sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Blacklist season 6 imeanza
Nimekuwa mvivu siku hizi daaah!! Nimeimis kweli.
Niliona preview ya yeye kua in jail aiseeKakamatwa kirahisi sana halafu akijua kama Elizaberth ndio kamchoma sijui itakuwaje
Ha ha ha ha ha. Nipo ndugu yangu..wewe ndio umepotea
Kabisa,yaani nikajua ni mimi peke angu hiyo.Uzee mama, siku hizi naweza kuweka movie alafu nikaishia kusinzia.
Kabisa,yaani nikajua ni mimi peke angu hiyo.
Sana,mambo mengi sana. Yaani hata huku naingia kwa kuibia ibia tuHahahaaa! Kumbe hata wewe!! Mambo yamekuwa mengi mno nayo.