donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,523
.Hii episode inakuwa na wastan wa mb ngp?
.Hii episode inakuwa na wastan wa mb ngp?
Kama hutojali, nielekeze naiwekaje kwa tablet/phone na kuanza kuitumia
Simple mkuu, we download uc browser, halafu na recommend pia na mxplayer (sio necessary ila ni player ninayo ikubali kwenye hand gadgets) then ukiingia kwenye uv browser andika o2tvseriesmcom, umemaliza kazi.Kama hutojali, nielekeze naiwekaje kwa tablet/phone na kuanza kuitumia
100 mb ukiweka kwa pc si inakuwa low qualityMaximum kama mia hivi ila kitu mwakemwake babaake
Imegome hapa,napakuaje hapa chief?Simple mkuu, we download uc browser, halafu na recommend pia na mxplayer (sio necessary ila ni player ninayo ikubali kwenye hand gadgets) then ukiingia kwenye uv browser andika o2tvseriesmcom, umemaliza kazi.View attachment 868810
Inategemea na pixel mkuu, mimi nili download silicon valley ina mb 120 na 720p iko poa sana sio kwenye PC tu ata kwenye kideo mzee.100 mb ukiweka kwa pc si inakuwa low quality
Nimefanikiwa kuitumia japo imenizungusha. Asante sana!!Simple mkuu, we download uc browser, halafu na recommend pia na mxplayer (sio necessary ila ni player ninayo ikubali kwenye hand gadgets) then ukiingia kwenye uv browser andika o2tvseriesmcom, umemaliza kazi.View attachment 868810
Thank you very much...Nimewawekea hii naona hakuna hata aliyeifata....
Iko simple tho. Me enjoying it againKwasisi wenye vichwa vizito, hii ina mzunguko mrefu sana.
Weka TeaTv mwendo mdundo huyo mtoa maelekezo mwenyewe TeaTv anayo kama backup in case anything goes wrong
The last ship imerudi?Nishaitumia inanikwaza tu sasa hivi
Kwa kishindo kikuuuubwaaaaaaaThe last ship imerudi?
Show ya kibabe sana. NitadownloadKwa kishindo kikuuuubwaaaaaaa
Hiyo ni web 02tvseriesMkubwa unatumia app gani kudownload? Vipi ufanisi wake na ukubwa wa files?
Bodyguard iko poa sana ni kama hizo ulizotajaWakuu Asante sana.. Nimezikubali Jack Ryan na Condor.. Sasa naomba mnitajie nyingine kali kama hizi.. Asante
nimeomba link / index ya season two mpaka leo wadau kimya... fanyeni hima wadau nipate hii makitu season one nimeshamaliza season two ndio utata kuipatalacasa de papel (a.k.a money heist)
usijari mkuu link iyo apo.., enjoy.., ni multiple language ukitaka english au spanish ni ww tu...nimeomba link / index ya season two mpaka leo wadau kimya... fanyeni hima wadau nipate hii makitu season one nimeshamaliza season two ndio utata kuipata