man of steel
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 1,099
- 2,348
Imetoka mwaka huu April ni nzuri kwa upande wangu.TABOO ya qitambo qidogo afu sjaielewa hata.. nlicheq epi moja nqaqata moto ...ni qali sana mquu? ?
Imetoka mwaka huu April ni nzuri kwa upande wangu.TABOO ya qitambo qidogo afu sjaielewa hata.. nlicheq epi moja nqaqata moto ...ni qali sana mquu? ?
Jumamosi ijayo mzee mzigo unaachiwa na siunajuaga Netflix wanamwaga tu episode zote kwa mpigo.Daah stranger thing daaah nilikuwa naiwait mnoo ..nomaaa
Ozark ni nzuri sana.Hiv hiz New series zilizotoqa hiv karibun ipi ni qali uqiachana na Good doctor?
Queen of South 3 na Westworld 2 mpaka 2018.MKUU queen of south season 3 lin?.. WestWorld inatoka lin Man..
Qweli apo wataquwa wameturahisishia mnoo. Qazi ni qushusha tu mquu.Jumamosi ijayo mzee mzigo unaachiwa na siunajuaga Netflix wanamwaga tu episode zote kwa mpigo.
Karibu series zote hapo nimeziangalia tumepishana kidogo sana, ila hapo kwenye hizo ulizoweka pending check hiyo last ship, designated survivor na agents of shields ni balaa hizo, story zake zipo poa sana, 24 na prison break nazo ni habar ingine kabisa, ukizianza zikakolea hutalala..trust me..Kila mtuu na ladha yake hilo ndio swala hapa nimeangalia series zaweza kua 30+,mambo ya ushamba yamekujaje hapa mbona nilikuambia tuu kistaarabu kwamba hii GOT ni the best nakushangaa tuu kwanini ilikushinda, ungesema tu labda unapenda series labda zenye mantiki ya Drama, romance, family, comedy,adventure, crime au horror sio tunaitana washamba dada angu.
Alafu kwa uchunguzi wangu ambao hauna verification, validation, clarification wala feasibility yeyote watu ambao huwaita watu wengine sifa mbaya basi huwa sifa hizo wanazo wao kwa mfano mtuu akimuita mwenzie Malaya, mchoyo, mshamba au mchawi basi huyo anaemuita mwenzie ndio anamiliki tabia hizo.
Hii ni list ya series nilizoangalia na ninazoendela kuangalia na character niliovutiwa katika kila series.
1. Game of thrones - Tyrion lannister
2. Breaking bad - Jesse Pinkman
4. Stranger things - Eleven( Season 2, inatoka October 28)
5. Narcos - Agent PENA
6. Mr. Robot - Elliot
7. Penny dreadful - Mr. Chandlier
8. Saleem - Mary siblings
9. Vampire diaries - Demon Salvatore
10. The originals - klaus maeklason
11. The revolution - General manroe
12. Arrow - Oliver Queen
13. The flash - Barry Allen
14. West world - Bernad Lowe
15. The 100 - ( Octavia girlfriend wake huyo lincorn ambae kwenye American gods ameact Kama Sunshine, pia mwaka huu Octavia alishiriki kwenye movie ya BAYWATCH akiwa na THE ROCK, ZACK na Muhindi yule wa QUANTICO, PRIYANKA CHOPRA)
16. American gods - Mr. Wednesday
17. Prison break - T- Bag
18. Marco Polo - Marco Polo
19. Da Vinci and Demons - Leonardo Da Vinci
20. House of cards - (Francis Underwood jina lake halisi Kevin spacey, mwaka huu amejumuika kwenye movie ya BABY DRIVER yupo na JERMIE FOXY HUMO)
21. Teen wolf - Scott McCall
22. Lost - Hugo ( Bonge)
23. Queen of South - ( Teresa Mendosa, Jana limetoka trailer la X-MEN MUTANT yumo humo ndani atakua na MASIE WILLIAMS jina maruufu la GOT ni ARYA STARK)
24. Power - Ghost
25. Vikings - Lagnar lothbroke ( season 5 inatoka November 29)
26. Rome - Ceaser
27. Spartacus - Spartacus
28. Sherlock Holmes - Sherlock
29. Blind spot - Jane, ( THOR: RAGNAROCK inakuja Cinema soon nimeona Trailer yake Hadi HULK yumo humo)
30. Banshee - Kai Proctor
31. Shannala Chronicles - Shannara
32. Ray Donovan - Ray mwenyewe mtu mbaya
Pia nina series ambazo zipo tuu kwenye external yangu hazinivutii kuangalia inshort kila nikizianza naona uvivu
1. Designated survivor
2. Agent shield
3. Pretty little liars ( Ntaifuta Leo Leo baadae kwa sababu alikua anaangalia Ex wangu)
4. Better call a Saul
5. Last ship
6. The Genius
7. El chapo
8. Ballers
9. The Sopranos
10. Once upon a time
11. Family Guy
12. Shameless
13. Lethal weapon
14. 24
15. Prison break: Resurrection
16. True detective
N.k Nyingi Sana hizo tuu ndio nimezikumbuka kutoka kichwani mwangu labda baada nikitulia nikuchambulie nyengine dada.
Pia hizi ndio series mpya za mwaka huu ambazo nimetingwa tuu na majukumu kwa sasa ila nitapotulia ndio target yangu.
1. Good doctor ( hi ipo Kama episode ya 4 hivi nitasubiri angalau ifike complete season)
2. Ozark - hii Nimeambiwa ni shida Kama ulipenda Breaking bad hii utaipenda pia.
3. Suburra - Nitaanza weekend hii inayokuja.
Mi pia ilinivutia coz napenda ancient stories James Delaney hatari sana!Imetoka mwaka huu April ni nzuri kwa upande wangu.
Yeah ipo poa sana, Delaeney sio mtuu poa kabisa mimi ni mpenzi sana wa series za waingereza english yao tamu sana wana swagger flani hivi kuanzia za waingereza nimependa sana Salem, sherlok Holmes,peny dreadful na kuna william Shakespeare inakuja pia Kama unafatilia Game of thrones.Mi pia ilinivutia coz napenda ancient stories James Delaney hatari sana!
Nilitaka kuipakua hii gifted nikasita,vip ipo vzr nayo?New Series
1. The Brave
2. Seal Team
3. The Good Doctor
4. Valor
5. The Gifted
6. Marvel Inhuman
7. Mr. Mercedes
8. Dynasty
Ni ya kawaida tu inahusu binadamu wenye nguvu za ajabu kama unapendelea hayo mambo basi utaipendaNilitaka kuipakua hii gifted nikasita,vip ipo vzr nayo?
Asante sana mi napenda hatavseries zenye kutumia akili sanaaaaNi ya kawaida tu inahusu binadamu wenye nguvu za ajabu kama unapendelea hayo mambo basi utaipenda
Ni mwendelezo wa story ya X-Men kama unaipata muvi ya xmen mkuuNilitaka kuipakua hii gifted nikasita,vip ipo vzr nayo?
Nomaaaaaaaaa...The punisher na stranger things ztatolewa na Netflix episode zooote kwa mpigo
Mzee itabid nikutafute ninyonye season hizoKila mtuu na ladha yake hilo ndio swala hapa nimeangalia series zaweza kua 30+,mambo ya ushamba yamekujaje hapa mbona nilikuambia tuu kistaarabu kwamba hii GOT ni the best nakushangaa tuu kwanini ilikushinda, ungesema tu labda unapenda series labda zenye mantiki ya Drama, romance, family, comedy,adventure, crime au horror sio tunaitana washamba dada angu.
Alafu kwa uchunguzi wangu ambao hauna verification, validation, clarification wala feasibility yeyote watu ambao huwaita watu wengine sifa mbaya basi huwa sifa hizo wanazo wao kwa mfano mtuu akimuita mwenzie Malaya, mchoyo, mshamba au mchawi basi huyo anaemuita mwenzie ndio anamiliki tabia hizo.
Hii ni list ya series nilizoangalia na ninazoendela kuangalia na character niliovutiwa katika kila series.
1. Game of thrones - Tyrion lannister
2. Breaking bad - Jesse Pinkman
4. Stranger things - Eleven( Season 2, inatoka October 28)
5. Narcos - Agent PENA
6. Mr. Robot - Elliot
7. Penny dreadful - Mr. Chandlier
8. Saleem - Mary siblings
9. Vampire diaries - Demon Salvatore
10. The originals - klaus maeklason
11. The revolution - General manroe
12. Arrow - Oliver Queen
13. The flash - Barry Allen
14. West world - Bernad Lowe
15. The 100 - ( Octavia girlfriend wake huyo lincorn ambae kwenye American gods ameact Kama Sunshine, pia mwaka huu Octavia alishiriki kwenye movie ya BAYWATCH akiwa na THE ROCK, ZACK na Muhindi yule wa QUANTICO, PRIYANKA CHOPRA)
16. American gods - Mr. Wednesday
17. Prison break - T- Bag
18. Marco Polo - Marco Polo
19. Da Vinci and Demons - Leonardo Da Vinci
20. House of cards - (Francis Underwood jina lake halisi Kevin spacey, mwaka huu amejumuika kwenye movie ya BABY DRIVER yupo na JERMIE FOXY HUMO)
21. Teen wolf - Scott McCall
22. Lost - Hugo ( Bonge)
23. Queen of South - ( Teresa Mendosa, Jana limetoka trailer la X-MEN MUTANT yumo humo ndani atakua na MASIE WILLIAMS jina maruufu la GOT ni ARYA STARK)
24. Power - Ghost
25. Vikings - Lagnar lothbroke ( season 5 inatoka November 29)
26. Rome - Ceaser
27. Spartacus - Spartacus
28. Sherlock Holmes - Sherlock
29. Blind spot - Jane, ( THOR: RAGNAROCK inakuja Cinema soon nimeona Trailer yake Hadi HULK yumo humo)
30. Banshee - Kai Proctor
31. Shannala Chronicles - Shannara
32. Ray Donovan - Ray mwenyewe mtu mbaya
Pia nina series ambazo zipo tuu kwenye external yangu hazinivutii kuangalia inshort kila nikizianza naona uvivu
1. Designated survivor
2. Agent shield
3. Pretty little liars ( Ntaifuta Leo Leo baadae kwa sababu alikua anaangalia Ex wangu)
4. Better call a Saul
5. Last ship
6. The Genius
7. El chapo
8. Ballers
9. The Sopranos
10. Once upon a time
11. Family Guy
12. Shameless
13. Lethal weapon
14. 24
15. Prison break: Resurrection
16. True detective
N.k Nyingi Sana hizo tuu ndio nimezikumbuka kutoka kichwani mwangu labda baada nikitulia nikuchambulie nyengine dada.
Pia hizi ndio series mpya za mwaka huu ambazo nimetingwa tuu na majukumu kwa sasa ila nitapotulia ndio target yangu.
1. Good doctor ( hi ipo Kama episode ya 4 hivi nitasubiri angalau ifike complete season)
2. Ozark - hii Nimeambiwa ni shida Kama ulipenda Breaking bad hii utaipenda pia.
3. Suburra - Nitaanza weekend hii inayokuja.
Unaandika lugha gani weweTABOO ya qitambo qidogo afu sjaielewa hata.. nlicheq epi moja nqaqata moto ...ni qali sana mquu? ?
,, .,.,!ñAsante sana mi napenda hatavseries zenye kutumia akili sanaaaa
Ni ya kawaida tu inahusu binadamu wenye nguvu za ajabu kama unapendelea hayo mambo basi utaipenda
Nomaaaaaaaaa...
The punisher na stranger things ztatolewa na Netflix episode zooote kwa mpigo
Aaaah mzee babaa ..ci qiswahili auUnaandika lugha gani wewe