Series (Special thread)

ushawai kuona seriez inaitwa KYRE XY basi kuna jamaa anaitwa MATTY DALLAS nilipoambiwa shoga sikuamini nikasema anasingiziwa mpk siku alipotangaza ameoolewa nikachoka kutokana jinsi alivyoigiza katika KYLE XY aisee huwezi amini kabisa mashoga wa mberehasa waigizaji wanakuwa strong na Smart fully sixpack

na hata role zao wanazocheza nI zile za CLEVERPEOPLE na ni za kigentleman hasa
Umenikumbisha mkuu kuna yule jamaa kaigiza kwny Arrow ambae n baba mzaz na mdogo ake na Oliver Queen, mpaka alipoolewa na kuvishwa pete nikachoka kabsa, wazungu n washenz hatar
 
Wakuu naomba msaada wa kujua majina series mpya kali za kijasusi kiterrorist na kimafia.Mimi tangu nimemaliza 24sijapata kitu kitamu tena.naomba list wakuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom