Hii Reign niliiangaliaga Pilot yake tu na kusema na ukweli sikuipenda kivile coz naona imekaa kiteenager sana na mie series za kiteenager nmezichoka kuanzia Vampire diaries mpaka One tree hill..
Ina mandhali nzuri ya kizamani na kifalme lakini wameweka plot yake kama ya mapenzi ya kicolloge and I'm too old for this..
Tukirudi kwenye swali lako ni kwamba hii Reign coz inahusu mahusiano ngono zake sio zile kali na za hadharani kama kwenye Game of thrones ingawa zipo
Inafaa kuangalia
atoto surprise yako hii hapa
Kuna kitu cha Jane the Virgin... Itafute nzuri hiyo
Jane aliitunza sana bikra yake kwa muda wa miaka 23, lakini kilichomtokea ni balaa.....Kwa bahati mbaya Dr mwenye mastress alimu inseminate ( kupandikiza mimba ,artificial insemination) kwa makosa akiwa bado bikra..
Yaani mimba kapata wakati utamu hajawai kuupata(sentence hii nimekosea kuileta huku kwake ni kule MMU)
Daaaah! Kanisikitisha kweli aiseee, naye ana kiranga ndio akome, hiyo bikra sasa alikuwa anamtunzia nani?
Thanx nitaitafuta aisee.
Yaani boyfriend wake kila akimfosi anachomoa aliweka nadhili kwa bibi yake......
Mie mwanamke akiniambia yuko bikra natoka nduki anioni tena
Heeeeh!! Unakwenda wapi sasa, hautaki kuwa wa kwamza jamani?
Mabikra wanasumbua bibie, mie napenda wazoefu mambo ya kugalagazana....we mtu ataukimaliza hakufuti yeye anang'ang'ania kufumba macho na kubana migulu kwa uchungu....
Tutafanyaje sasa na series ndio zinaleta balaa hilo? Wakati tunasubiri updates za new series sio mbaya bwana, kwani kuna mtu kanuna? Innocizy hana shida mzungu wa nafsi yule, maana naye alileta balaa la kurecomend movie imejaa tabia mbaya hiyooo ikabidi tutoke nje ya mada kidogo.
chuma cha reli nimeicheki only one episod nikapenda how its going, thanks for the headups.
Hii The Last Ship mbona inaboa haina uhalisia kabisa, Yaani wanafanya Urusi kama mavetinam wakati Urusi wanakaribiana na Marekani kwa uwezo wa kijeshi.
Hii The Last Ship mbona inaboa haina uhalisia kabisa, Yaani wanafanya Urusi kama mavetinam wakati Urusi wanakaribiana na Marekani kwa uwezo wa kijeshi.