Kuna hii series mpya
#AMERICAN_ODYSSEY kama kuna mtu anaicheki ndio kwanza imetoka hadi episode ya pili sasa, Y a kwanza nimeicheki, binafsi nimeipenda hasa the fact kwamba Nchi za Kiislam zinahusika. Movie zote ambazo wamarekani wameigizia nchi za kiarabu ama tamaduni za kiislamu binafsi huwa nazipenda sijui kwa nini... Humu ndani kuna Islamic State of Mali in Africa. Jaribuni kuiona It seems to be a good series. BTW Tyrant lini jamani kwenye ratiba? na Revolution nayo kimyaa?